As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
Si anajiita bosiled mbona hiyo hela ni ndogo sana kwa boss au ndio boss jina tu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washageuza vyanzo vya kujipatia mapato hao tu hamna loloteWakiwa wanatunzana madola ukiwaambia mnakufuru utasikia "tuacheni jamaniii ni jasho letu, by the way life is too short"
wakianza kuumwa mbio kujinyongesha kwenye mitandao.
wenye mioyo yao watachangia but meee am out.
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Mwehu tu ana uFamous ganiAnataka sperm donor ya kiamerika... Angeenda China 3000$ ingemaliza mchezo... Ila anataka America... You know she is very famous in this country
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakumpata bro alisema MTU akitaka kumuowa otoe mahari ya 500mil na hawezi kupata mtu huyu kwa kitu gani hasa alichonachoHuyu si ndio alimpata mchumba wa mahari ya milioni 500? Vitu vingine huwa tunajiharibia wenyewe... Alijipa thamani kubwa kupitiliza akamsahau Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaishi Nchi gani mkuu?hela ya hifadhi si yake tenaPole sana Diva ila sishangai wewe mirija kuziba bali nashangaa kwamba hauna 14m Tsh....Umefanya kazi zaidi ya miaka 10 kwanini usitumie fedha za hifadhi ya jamii uliyosave kwenda kutatua tatizo lako? kwa miaka 10 ya kazi hata kama ulikuwa unalipwa laki 5 kwa mwezi hauwezi kosa 16m NSSF/PPF.
Milioni 500,sio mia mkuuhuyu si ndio alitukanaga redioni akasema hawezi kuolewa wanaume wa kibongo boxer zao zinanuka! akaenda mbali zaidi na kuda mahari yake iwe si chini ya mil.100!! Acheni Mungu aitwe Mungu! Tunanuka boxer lakini tunazaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana sisi wengine hatunaga ujinga wakuatilia watu wapuuzi.kama.hao.wanaojiita eti mastaa sasa huyu.mbona anasura mbovu hiyo Mahali ya 500ml mtu atanunua nini hapo jinga kabisaSasa me nauliza je huyu bint alisema hawezi kuwa na mpenzi ambaye hajui Kiinglish sasa sisi wengine Viben10 tusiefikia level zake buku letu litaleta thaman baadae?
Je? Tunafaa kumchangia?[emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 842397
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoma au?Diva kaungua...kitambo sana.
Ukibisha bas we mbishi..
Wote wale kina mketema wote,ukibisha we mbish.
Am off.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kutoka kuwa The Boss hadi Matonya omba omba aisee dunia kweli ina maajabu yakeMtu unajiita boss, unaionesha jamii kwamba maisha yako ni classic halafu suddenly unajitokeza publicly kuomba msaada wa mil 15. Kila la heri kwake, namuombea apate hitaji la moyo wake, then aache mbwembwe wakati balance haisomi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nimewaza namna hii dab atahusikaMaisha ya mjini ni ni ujanja uyo dada hawezi kurupuka from no where nakuanza kuandika vile ili hali yupo chini ya kampuni ambayo ishajipambanua kuwa the people station, huoni kama kutanya hivyo nikuihalibia kapuni anayofanya kazi taswira yake kuwa clouds Media hawapo care nawafanyakazi wake yani haiwajali kipindi wanapopatwa na matatizo
Mfano kuna hii TATU MZUKA ipo chini ya kina Sebastian ndege nje ya hapo clouds wana program nyingi tu ambazo wangeweza msaidia issue yake hiyo lakini kwanini kaifanya public hivyo hapo ni kiki ngoja uone BASHITE anavyonata na hii Kiki nipo hapa
Hapo makonda wanataka kuja kujisafisha kuwa yeye ni rijali sema mkewe walikuwa na tatizo kama la uyu binti wa malinzi hivyo basi tuamini kuwa mh makonda yule mtoto si wakupandikizwa ni kawaida tu ngojeni muone
Kwakua tumeandika huu uzi hapa anaweza makonda asijitokeze kuona kuwa ramani yao tushaijua
kwenye kudonate hutombi mzee, hapo ni puli unapiga.
Alikuwa anasikilizia kurambwa kiantena tu hakuwaza kusave heladah, kweli k sio mtaji, kutomb.wa kote kule 14m hana?