Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

img_20180820_101412_728-jpg.842088
 
Kumbe alitaka mahari ya Tsh 500M, wakati hana hata Tsh 15M!!
Wabongo lazima tujue kutofautisha maisha ya Instagram na Real Life!!! Hili ni funzo mojawapo!!!
Tunalisubili tamko la Le Super Lemutuz Kokobanga Mobimba Mazaafwantaaz!!! Nye!! Nye!! Nye!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada Ya Jiji kuwa na zoeZi la kufukuza ombaomba katika mitaa ya jiji la Dar, sasa naona zoezi hili livuke mipaka mpaka kwa wasanii au celebrities Wetu.


Hawana tofauti na marehemu matonya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana hela zote zile alizoiba baba yake Malinzi TFF,familia yake inashindwa hata kumpa M15?mpk atuombe msaada sisi hohehahe?
 
Je huko sahihi Katika hili? Hizo ndio sababu za pekee za kuziba mirija
kulingana na maelezo yake Niko sahihi ndio. maana kasema Vipimo vyote viko Sawa, Ila kipimo cha mirija ndio kimeonyesha imeziba. Hiyo inamaamisha kwamba sababu nyingine za kufanya mirija izibe (Kama uvimbe kwenye cornua) Hakuna, lakini pia mirija inaoneka imeziba pande zote. Kawaida kitu Pekee kinachoweza sababisha scenario Kama hii kwa kiasi kikubwa ni Kama nilivyoeleza
 
Wakiwa wanatunzana madola ukiwaambia mnakufuru utasikia "tuacheni jamaniii ni jasho letu, by the way life is too short"
wakianza kuumwa mbio kujinyongesha kwenye mitandao.

wenye mioyo yao watachangia but meee am out.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Wanasema "I am living my life" alafu yakiwashinda wanarudi tena kwa wale waliosema mtuache
 
Huyu Diva aache dharau,si poa kuomba M15 na wakati huo anaishi kwenye apartment ya more than hi anayoomba,yaani in short anatukana watu wasio na uwezo wa kifedha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza anataka kufanya Sperm Donor.. Kwani wanaume hakuna? Huyu dada anaringa sana na ndio maana Mungu anaamua kumuonesha Kua jeuri haifai. Maneno ya Shombo pamoja kujiita The Bawse ila Dola 7000 inamshinda. Pambana na Hali yako tena nakwambia ivyo bila Huruma
 
Back
Top Bottom