Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Lol, i've seen you in her page.Mimi nitakupa shahawa bure kabisa ata ukitaka kikombe kizima nitakujazia
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol, i've seen you in her page.Mimi nitakupa shahawa bure kabisa ata ukitaka kikombe kizima nitakujazia
....najua sema huyu ndugu anataka kujipigia Pasi ya mbele ili.siku.akumbukwe kupewa mzigo baada ya kupiga pulikwenye kudonate hutombi mzee, hapo ni puli unapiga.
Hata mimi nimehisi inaweza kuwa ana PIDmirija haizibi Hivi Hivi, hayo maumivu ya Tumbo chronic ilikuwa dalili. Either complication ya abortion iliyopita, ama mgonjwa sugu ya zinaa ambayo hayakutibiwa (chronic pelvic inflammatory disease). All the best
Kuna siku chuoni walionyesha documentary jinsi abortion inavyofanyika hatua moja mpaka mwisho, wanawake wengi hawakuimaliza wengine walikimbia na wengine walizimia ukimbiniWanasema maumivu huwa ni makali zaidi endapo mhusika anakumbukumbu aliwahi kufanya abortion
Wana roho ngumu sana hawa viumbe sometimesKuna siku chuoni walionyesha documentary jinsi abortion inavyofanyika hatua moja mpaka mwisho, wanawake wengi hawakuimaliza wengine walikimbia na wengine walizimia ukimbini
Mkuu ukiwa na Tatizo la kiafya ile hela unaichukua kwa kufata prosija kwa lengo la kutumia kujitibu.
Aliwahi kusema anaishi nyumba ya dola elfu moja kwa mwezi,ina maana dola elfu kumi na mbili kwa mwaka.Anakosaje dola elfu saba?Tafadhali msaidie mwanamke mwenzio.
Je huko sahihi Katika hili? Hizo ndio sababu za pekee za kuziba mirijamirija haizibi Hivi Hivi, hayo maumivu ya Tumbo chronic ilikuwa dalili. Either complication ya abortion iliyopita, ama mgonjwa sugu ya zinaa ambayo hayakutibiwa (chronic pelvic inflammatory disease). All the best
Msameheni,kuna maisha ya kiuhalisia na maisha ya instagram,99% maisha ya instagram ni Fekero.Aliwahi kusema anaishi nyumba ya dola elfu moja kwa mwezi,ina maana dola elfu kumi na mbili kwa mwaka.Anakosaje dola elfu saba?