Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Wakiwa wanatunzana madola ukiwaambia mnakufuru utasikia "tuacheni jamaniii ni jasho letu, by the way life is too short"
wakianza kuumwa mbio kujinyongesha kwenye mitandao.

wenye mioyo yao watachangia but meee am out.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Washageuza vyanzo vya kujipatia mapato hao tu hamna lolote

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu si ndio alitukanaga redioni akasema hawezi kuolewa wanaume wa kibongo boxer zao zinanuka! akaenda mbali zaidi na kuda mahari yake iwe si chini ya mil.100!! Acheni Mungu aitwe Mungu! Tunanuka boxer lakini tunazaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Diva ila sishangai wewe mirija kuziba bali nashangaa kwamba hauna 14m Tsh....Umefanya kazi zaidi ya miaka 10 kwanini usitumie fedha za hifadhi ya jamii uliyosave kwenda kutatua tatizo lako? kwa miaka 10 ya kazi hata kama ulikuwa unalipwa laki 5 kwa mwezi hauwezi kosa 16m NSSF/PPF.
Unaishi Nchi gani mkuu?hela ya hifadhi si yake tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa me nauliza je huyu bint alisema hawezi kuwa na mpenzi ambaye hajui Kiinglish sasa sisi wengine Viben10 tusiefikia level zake buku letu litaleta thaman baadae?

Je? Tunafaa kumchangia?[emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 842397

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana sisi wengine hatunaga ujinga wakuatilia watu wapuuzi.kama.hao.wanaojiita eti mastaa sasa huyu.mbona anasura mbovu hiyo Mahali ya 500ml mtu atanunua nini hapo jinga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu unajiita boss, unaionesha jamii kwamba maisha yako ni classic halafu suddenly unajitokeza publicly kuomba msaada wa mil 15. Kila la heri kwake, namuombea apate hitaji la moyo wake, then aache mbwembwe wakati balance haisomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kutoka kuwa The Boss hadi Matonya omba omba aisee dunia kweli ina maajabu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya mjini ni ni ujanja uyo dada hawezi kurupuka from no where nakuanza kuandika vile ili hali yupo chini ya kampuni ambayo ishajipambanua kuwa the people station, huoni kama kutanya hivyo nikuihalibia kapuni anayofanya kazi taswira yake kuwa clouds Media hawapo care nawafanyakazi wake yani haiwajali kipindi wanapopatwa na matatizo

Mfano kuna hii TATU MZUKA ipo chini ya kina Sebastian ndege nje ya hapo clouds wana program nyingi tu ambazo wangeweza msaidia issue yake hiyo lakini kwanini kaifanya public hivyo hapo ni kiki ngoja uone BASHITE anavyonata na hii Kiki nipo hapa

Hapo makonda wanataka kuja kujisafisha kuwa yeye ni rijali sema mkewe walikuwa na tatizo kama la uyu binti wa malinzi hivyo basi tuamini kuwa mh makonda yule mtoto si wakupandikizwa ni kawaida tu ngojeni muone

Kwakua tumeandika huu uzi hapa anaweza makonda asijitokeze kuona kuwa ramani yao tushaijua
Nami nimewaza namna hii dab atahusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namwonaga huyu dada mshamba flani alafu limbukeni Mda always ni mwalimu mzuri lakini naskia alufu ya kupigwa
 
Back
Top Bottom