Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Hakuna ajuaye kesho yake...Mungu huweza kuonesha ukuu wake hapahapa duniani...huyu demu alitutukana sana sisi wanaume masikini...Tumemsamehe, tumesahau, tutachangia ikibidi!! Full stop!
 
Shida ya hivi vishanKUPE vya kileo vinadhani wanaume wote hawajui Value of Money akimvulia pichu kibenten akimsifia tayari anajiona anaweza kuwa Mahali ya 500ml jinga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ni mkweli sana mpaka inaogopesha.
Mnapojinadi kwa uzuri, elimu, vipande vya fedha na mengineyo msisahau kuwa yupo aliyetoa, ndio maana kuna watu hawana hivyo mlivyonavyo ila wana amani kwani wana kile msichokuwa nacho......watoto, respect na amani.
Maisha yetu yamejaa mitihani na bahati mbaya sana hayupo binadamu wa kuihimili kirahisi hasa pale ulipokuwa umejiweka kwenye kundi la wale wanaomini ni bora kuliko wengine na shida kwao ni msamiati mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri sana hii ngoja niicopy
 
Wakiwa wanatunzana madola ukiwaambia mnakufuru utasikia "tuacheni jamaniii ni jasho letu, by the way life is too short"
wakianza kuumwa mbio kujinyongesha kwenye mitandao.

wenye mioyo yao watachangia but meee am out.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Back
Top Bottom