TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

R.I.P kibonde maana hakuna atakae ishi milele sote tunapita tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole mkuu,huwa nahisi hawa jamaa wana taratibu zao za kupata habari so kama habari hawajaipata kutoka vitengo wanavyoviamini wao huchukulia kama uzushi na huifuta ila ikishakuwa confirmed akitokea member mwengine akaanzisha uzi unaofanana na wako unakuwa released jukwaani.

Japo inakatisha tamaa tuvumilie maybe watajirekebisha.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Rafiki yangu mmoja husema kusikitika hakusaidii, na kama ni kusikitika tumsikitie yule aliyeondoka akatuacha duniani. Ameondokaje? Kwa huu msiba maneno yake nayapinga kwa asilimia mia. Wale watoto wao itakuwaje?
 
RIP. KIBS
POLENI CLOUDS FAMILY
POLENI WANAFAMILIA WA KIBONDE
MUNGU AWAPE MOYO WA SUBIRA
"BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE"
AMEN!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…