TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Kila mja lazima ataonja mauti ila kinachosikitisha sana ni watoto wake!!Its very sad and touch!!
 
Daaaaah, asubuhi hii nimeamka tu nikajikuta jicho linapepesuka kwa spidi ghalfa nikasema "in the name of Jesus, shetani shindwa". Nikafumba macho nikasali, ile nafumbua macho nawasha data nakuta hii habari. So sad.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amethibitisha kwamba Mtangazaji wa CloudsFM Ephraim Kibonde amefariki akiwa Mwanza, alianza kusumbuliwa na Presha toka Bukoba kwenye msiba wa Ruge Mutahaba na kuhamishiwa Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wa mkoa anatoa taharifa za vifo siku hizi
 
Back
Top Bottom