TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Hatimae nimesikia Clouds FM wakitoa rasmi taarifa ya huu msiba.

Tulikuja bila kitu duniani na tutaondoka bila kitu.

Tukumbuke kuwatendea mema wengine kadri tupatapo nafasi na kuwathamini watu wote bila kusahau kimcha Mungu. Hayo ndio mambo pekee yanayobaki kuwa ya thamani.
 
Wa ajabu ww, kifo ni kitu kingine, usishangae ww mwenyewe hii ndio ikawa asubui yk ya mwisho ktk uhai Wa dunia Kaka angu,ndio maana tunaimizwa na kumuimiza jiwe kuwa dunia ni yakupita awatendee wema wenzie,
Jehnam ni gereza kwa wenye kufanya ubaya duniani, tusijisahau kwakweli
Jiwe hawezi kufa ghafra kiasi hicho, ana presidential treatment.

Ndo mana anaringa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom