TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

RIP Kibonde,
Kazi ya Mungu haina makosa,
Tumshukuru kwa yote.
Mungu aliye mfariji wa kweli awape Faraja wote walioguswa na msiba huu.
 
Huyu kibonde kipindi kile tunadai bumu kuongezwa kutoka buku 5 mpaka 7500,alituzingua sana kwa kutusema vibaya kuwa tunatumia pesa kwa anasa!Hata ule wimbo wa Roma wa "mathematics" aliimba "Kibonde we ni member wa Loan Board au TCU",ilikuwa kwasababu hiyo ya tabia yake kuwaponda wanafunzi wa elimu ya juu!Kibonde kiufupi alikuwa anaona maisha ya wanavyuo ni ya hali ya juu tofauti na uwezo wao!

Nimekusamehe Kibonde,Mungu akulaze mahala pema peponi!
 
Back
Top Bottom