isaryalande
Senior Member
- Jan 17, 2014
- 113
- 15
"kwa kumuenzi endelea kufuatilia jahazi""Eee Mungu wangu bora hata Ruge aliumwa muda mrefu jamani. Duu nilikuwa nasikiliza jahazi kwasababu yake. Nimesikitika sana.
Kwa niaba yake nikujibu,Kwani ukiwa Mc hauruhusiwi kufa?
Umenikumbusha enzi za Don Bosco Upanga chini ya Father BabuNakumbuka enzi hzo don Bosco pale alikuwa anatingisha....Enzi hzo upanga imechangamka
Pole kwa kibonde family&sarah&stella&lydia
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaishi Mara MojaMtangazaji Ephrahim Kibonde wa clouds fm amefariki dunia akiwa anapata matibabu ktk hospitali ya bugando jijini mwanza kuamkia usiku wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha haya ni mafupi,,Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie,akiumwa kampe pole,akikuomba msamaha samehe.,ukimkumbuka mjulie hali..Usiyape majivuno nafasi,tuna muda mchache duniani...
*Uhai ni zawadi, kifo ni lazima..* huu ujumbe utakusaidia sana kwenye Maisha yako
Sent using Jamii Forums mobile app