TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Sifa moja ya presha ni kumuondoa Mtu ghafla.

Inashtua lakini hatuna budi kukubaliana na yaliyotokea, Bwana ametoa Bwana ametwaa...jina lake lihimidiwe.
 
Iam speechlessly speechless. Really? Is he dead? RIP kamanda. Alikuwa moja ya watangazaji vichwa. Sana. Nimeumia sana. 😭 😭
 
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke
Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
2 Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa;
Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.

Poleni sana wanafamilia ya Kibonde hasa watoto wake ambao wamepoteza mama na baba. Poleni sana clouds media na wote walioguswa na msiba huu.
 
Daah..! Kifo tumekizoea sawa,lkn kinapokuja ktk style hii ya kuwachukua watu wawili wanaoishi na kufanya kazi pamoja ndani ya siku 14 kinatuacha na simanzi yenye maumivu makali sn. Anyway hatuna uwezo wa kubishana na tendo hilo na tunajizuia kumkosoa MUNGU lkn binafsi...nakosa neno sahihi.
Nitumie nafas kuwatakeni uvumilivu wa hali ya juu mnapopitia kwenye giza hili nene. Kwa upekee nimpe pole kaka yangu Joseph Kusaga,haya nayaona yanakuzidi umri kabisa...!!
"JIPE NGUVU,UVUMILIVU NA MOYO WA UJASIRI KAKA". Muruhusu MUNGU ayatimize yale aliyokupangia,na usikate tamaa kwan ipo siku atakukumbuka kwa njia nyingine.
 
Pumzika kwa amani Kibonde
Poleni wana familia, poleni Clouds
 
Kila nafsi itaonja mauti, apumzike kwa amani!
 
Ila tahadhari asije mtu akahama chama tena, maana tutaanza pata wasiwasi!
 
Asalaam aleykhum Kibonde

Sasa haupo... Tutakunywa zako BIA.

Upumzike kwa amani brother.
 
Maisha haya ni mafupi,,Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie,akiumwa kampe pole,akikuomba msamaha samehe.,ukimkumbuka mjulie hali..Usiyape majivuno nafasi,tuna muda mchache duniani...
*Uhai ni zawadi, kifo ni lazima..* huu ujumbe utakusaidia sana kwenye Maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom