Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Msitari upi unaonyesha furaha yake.
"clouds tv wabadilishe picha waweke ya Kibonde sasa" (ni ushauri tu)
Kufa wewe kama wao hawafii.Naishi na ndugu marafiki hata majirani ninao wengi tu
Sasa kama unajua kila mtu anakufa kwa wakati unapanuaje domo kuuliza kwamba mbona ulaya hawafi?Wakati wangu ukifika sina pingamizi kwa hilo