TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

duhh ama kweli bin adam tuko kama maua!! ndio maana maandiko yanasema panga mipango kama vile utaishi milele. lakini Ishi kana kwamba una saa moja tu ya kuishi! mungu wafariji wafiwa
 
Dah. Nikweli naona tangazo linapita kwenye station ya clouds tv. Maisha ni siri kubwa juu ya kuondoka kwa mtu.

Yatupasa wanadamu wakati mwingine kujua kuna kufu wakati mwingine tunajisahau na kuacha kumwabudu Mwenyezi Mungu na kumpa muda mwingi katika kufanya ibada.

pia kil mwanadam yampasa kuwa na mahusiano mema na wengine. Maana kiburi. Madaha. Majigambo. Chuki gilba. Vyote ni ubatili.
 
Back
Top Bottom