TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Mbona Clouds FM wanaendelea na matangazo kwa ratiba za kawaida kana kwamba hakuna kitu kimetokea?

Najua kifo kinaweza kumfika yeyote, popote na wakati wowote.

Pole kwa wafiwa
 
Aliekua mtangazaji wa Clouds FM amefariki dunia alfajiri ya leo jijini Mwanza alikokua anapatiwa matibabu baada ya kusumbuliwa na presha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana wafiwa wote huyu Kibonde ndo alikuwa MC kwenye tukio la kumsindikiza boss wake Ruge leo naye ametangulia mbele ya haki maisha ni safari

Wale watoto mwaka Jana wamepoteza mama ,baba nae kafata [emoji119][emoji119] unaweza ukufuru.Mungu awajaze imani kwa kweli.
 
Back
Top Bottom