TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Watoto wa Mpendwa wetu EphraimKibonde , Junior pamoja na mdogo wake wa kike ilaria wakipata faraja kutoka kwa wanafamilia mbalimbali wanaoendelea kujitokeza hapa nyumbani kwa Baba Mzazi wa Ephraim Kibonde Mbezi
 
Waziri Mkuu Wa Tanzania Mh Kassim Majaaliwa, Amefika Nyumbani kwa mpendwa wetu EphraimKibonde na kuweza kutoa pole na kuhani pamoja na watu waliofika nyumbani hapo maeneo ya Mbezi Beach .
 
kuna wakati hua natamani Majaliwa na mukulu wangebadilishana ofisi
 
Asante kwa Kuja kumpumzisha kada wa ccm

SWISSME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…