Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Aise poleni sana wafiwa. Mungu awajalie faraja katika kipindi hiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mwanadamu anayo mengi kafanya ya kukumbukwa. Yaliyo mema na mabaya kwetu. Aidha tunayo mazuri na mabaya pia tumemtendea.Ee Mwenyezi Mungu umrehemu mtumishi wako uliye muita kwako katika kipindi hiki cha kwaresma.
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.
Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba wa marehebu Ruge Mutahaba huko Bukoba mkoani Kagera na kuhamishiwa hospitali ya Bugando jijini Mwanza ambapo mauti yamemkuta.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga wamethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa
Mwaka jana Ephraim Kibonde alimpoteza mkewe mama Sara Kibonde. Zaidi soma >TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde - JamiiForums
View attachment 1039958
Ephraim Kibonde akiwa na mkewe enzi za uhai wao
Maisha mafupi ndomana sisi wengine tunaishi to the fullestAise poleni sana wafiwa. Mungu awajalie faraja katika kipindi hiki
"akikuomba msamaha samehe" Binadamu karibia 90% tunafeli huu mtihani nakumbuka nilipoenda kwenye kituo cha Sala Pugu,padri wa pale alitupa somo maana ya msamaha nigundua msamaha ni somo pana mno,Binadamu wengi sana hatujui jinsi ya kuomba msamaha na wagumu kusamehe.Maisha haya ni mafupi,,Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie,akiumwa kampe pole,akikuomba msamaha samehe.,ukimkumbuka mjulie hali..Usiyape majivuno nafasi,tuna muda mchache duniani...
*Uhai ni zawadi, kifo ni lazima..* huu ujumbe utakusaidia sana kwenye Maisha yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera za kwako ni nzuri sanaSasa kama unajua kila mtu anakufa kwa wakati unapanuaje domo kuuliza kwamba mbona ulaya hawafi?
Akili zako ni mbovu sana.
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.
Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba wa marehebu Ruge Mutahaba huko Bukoba mkoani Kagera na kuhamishiwa hospitali ya Bugando jijini Mwanza ambapo mauti yamemkuta.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga wamethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa
Mwaka jana Ephraim Kibonde alimpoteza mkewe mama Sara Kibonde. Zaidi soma >TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde - JamiiForums
View attachment 1039958
Ephraim Kibonde akiwa na mkewe enzi za uhai wao
Dab na mzazi wake ilitakiwa wasome hiki ulichoandikaDah. Nikweli naona tangazo linapita kwenye station ya clouds tv. Maisha ni siri kubwa juu ya kuondoka kwa mtu.
Yatupasa wanadamu wakati mwingine kujua kuna kufu wakati mwingine tunajisahau na kuacha kumwabudu Mwenyezi Mungu na kumpa muda mwingi katika kufanya ibada.
pia kil mwanadam yampasa kuwa na mahusiano mema na wengine. Maana kiburi. Madaha. Majigambo. Chuki gilba. Vyote ni ubatili.
Kilauzi ndio kinini
Kwa nini umeruhusu, Eee Mungu wetu Kibonde afe shortly baada ya Kifo kilichotuliza cha Ruge,
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.
Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba wa marehebu Ruge Mutahaba huko Bukoba mkoani Kagera na kuhamishiwa hospitali ya Bugando jijini Mwanza ambapo mauti yamemkuta.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga wamethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa
Mwaka jana Ephraim Kibonde alimpoteza mkewe mama Sara Kibonde. Zaidi soma >TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde - JamiiForums
View attachment 1039958
Ephraim Kibonde akiwa na mkewe enzi za uhai wao
"""Kauli thabiti"" umenikumbusha ile kauli yake Adam na EvaView attachment 1039945siri ya kifo aijuae muumba, hapa alikuwa anasimamia wekaji wa mashada ya marehemu ruge, wala hakujua siku 3 mbele zinazofuata mauti ya tamkumba, tunatembea na vifo hakika sisi si lolote wala chochote, Mungu ampe kauli thabiti amina.
Nenda salama Ephrain, Msalimie sana mkeo (Sarah), Mungu awajalie faraja watoto wenu wapendwa![]()
Ephraim Kibonde akiwa na mkewe enzi za uhai wao