blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Daaah wimbo wao...yaani Gadner kapata pigo kali sana
R.I.P Kibonde
Aisee...yani sijui itakuwaje!!!??
Hii ni hatari kubwa... Ghafla mnooo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah wimbo wao...yaani Gadner kapata pigo kali sana
R.I.P Kibonde
Pole ndio hivyo, Mama kileo diwani wa Mikocheni naye kamfuata mumewe na mtoto wake Langa
MTC | 101| [emoji769]
Mbona Mjomba Mpoto kavaa viatuVIJANA, NGUVUKAZI INAPUNGUA DUNIANI.View attachment 1040010
😳😳😳😳😳Write your reply...
hapa kuna kitu,mkuu wa ukoo inabidi aitishe kikao cha dharula na wazee wenzake ili kuagua huenda kuna mtu media anatafuna wenzake
Ndo ulichokiona au ndo kila kitu mpk upinge etiii kaka!!!hebu niache miye usijifanye hujaelewa bwanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu saa7 mchana nasikia wakipiga nyimbo za maombolezo mchanganyiko na za kawaida ila nyingi ni za kuomboleza. Haikuwa hivyo wakati Ruge alipofariki. Je, wanaonesha kuungana na Clouds juu kumuombolezea Efraim Kobonde?
Jaribu kusikiliza mida hii utakubaliana na mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona redio zingine hazipigi ngoma za maombolezo?Kibonde ni mwana habari wasafi media ni chombo cha habari wapo sawa,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ,diwani wa kata ya mikocheni kupitia CDM ,means kata iko wazi haina diwani kufuatia kifo hicho
Huzuni kubwa...Yaani inatilisha huruma mnoo Mtani.
Yes ,diwani wa kata ya mikocheni kupitia CDM ,means kata iko wazi haina diwani kufuatia kifo hicho
Kwanini huamini kwani hujui kifo Ni rahisi? Kama huamini peruzi mwenyewe kwenye mitandao.Habari hii ya kweli?
Hata sisi kwetu haturuhusiwi kuchimba kaburi lilale bila kuzika, labda wazee wa maeneo husika wasiwepo, lakini hata kama wazee hawapo haijawahi tokea hivo, watu wanazikwa hata kama kuna mvua ya namna gani, nakumbuka kuna mtu walimzika huku mvua kubwa inanyesha, kazi ilikua ni kutoa maji yaliyokua yanaingia kaburini.WAJUZI WA MAMBO KUNA UKWELI NDANI YA HILI?? .. View attachment 1040085View attachment 1040085
Bado na kubwa lao msaga saga! Miwaya haimwachagi mtu salama. Chicken are coming home to roost . Meza ARV kadri utakavyo lakini kuna siku nazo zinazidiwa na virusi.
Sent using Jamii Forums mobile app