Uchaguzi 2020 Mtangazaji wa Clouds, Harrison Kapiga achukua fomu ya Ubunge Iramba Mashariki kupitia CCM

Huyu Mwamba wa clouds Fm ameona asibaki nyuma. Amejitokeza kuwania ubunge Iramba Mashariki kupitia CCM. Jimbo hili pia ndilo huitwa wilaya ya Mkalama. Sio magharibi kule, huko yupo Mwamba asiyegusika Mwigulu Nchemba.

 
Kapija au Kapiga..... Huyu nae kamendea Udas wee, mambo yamekataa sasa kaamua akatie nia ili aonekane vizuri,, mtu kama yule mchungaji kule Singida anajua kabisa hawezi kupitishwa na jimbo lenyewe lipo chini ya Mwigulu nchemba.
 
[QUOTE

Tumtakie kila la kheri.......bado Pascal Mayalla![/QUOTE]

Nyinyi CCM wenzie ndo mumtakie kila la kheri. Otherwise mimi ningependa aambulie aibu tu na arudi kutangaza habari za kuisifu serikali huko mawinguni.
 
Kapija au Kapinga..... Huyu nae kamendea Udas wee, mambo yamekataa sasa kaamua akatie nia ili aonekane vizuri,, mtu kama yule mchungaji kule Singida anajua kabisa hawazi kuputishwa na jimbo lenyewe lipo chini ya Mwigulu nchemba.
Fuatilia mambo basi. Mwigulu yupo magharibi sio Mashariki
 
Jina kamili anaitwa Harris Newman Kapiga ni mzaliwa wa Singida wilaya ya mkarama na amesoma huko shule ya msingi. Anagombea jimbo la Iramba Mashariki.
 
Kapija au Kapiga..... Huyu nae kamendea Udas wee, mambo yamekataa sasa kaamua akatie nia ili aonekane vizuri,, mtu kama yule mchungaji kule Singida anajua kabisa hawezi kupitishwa na jimbo lenyewe lipo chini ya Mwigulu nchemba.
Huyo huyo!
 
Kumekucha
Kila Mtu Apate!!!
Vyeo Vipo Vingi!!
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜ŠπŸ™„πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒ
Naangalia Nami Nikatie Nia Wapi Chamwino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…