Uchaguzi 2020 Mtangazaji wa Clouds, Harrison Kapiga achukua fomu ya Ubunge Iramba Mashariki kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Mtangazaji wa Clouds, Harrison Kapiga achukua fomu ya Ubunge Iramba Mashariki kupitia CCM

Mwigulu ni lulu ndani ya nchi yetu, ni kijana mahiri, mwana CCM, Mzalendo, mchapakazi, jasiri, mpendawatu na mwanamapinduzi.
Tunataka Mwigulu zaidi ya yeye anavyotuhitaji.
 
Wanajua itakuwa kama mwaka 2015 Watia nia walioshindwa kupata Ubunge waliteuliwa kuwa wakuu wa Mikoa,wilaya na Wakurugenzi
 
kwa mwigulu mbona sijasikia mtu mwingine aliotia nia kwel mwigulu jabar wa mbinu chafu
 
Hivi ile tuhuma ya kugawa 'rinda' lake lililovuma Sana muda fulani,haliwezi kuathiri ugombea wake?
kule shambani hawawezi kujua tuhumu zipo kwenye mitandao tu sidhani kama ina nguvu kiasi hicho
 
Mwigulu ni lulu ndani ya nchi yetu, ni kijana mahiri, mwana CCM, Mzalendo, mchapakazi, jasiri, mpendawatu na mwanamapinduzi.
Tunataka Mwigulu zaidi ya yeye anavyotuhitaji.
Watanzania tuna safari ndefu sana. Kwa akili hizi
 
[QUOTE

Tumtakie kila la kheri.......bado Pascal Mayalla!

Nyinyi CCM wenzie ndo mumtakie kila la kheri. Otherwise mimi ningependa aambulie aibu tu na arudi kutangaza habari za kuisifu serikali huko mawinguni.
[/QUOTE]

Hata akikosa huo ubunge bado atabaki kwany memories za chama, mwakani tutakutana kwenye teuzi za ukatibu tawala
 
Mwigulu ni lulu ndani ya nchi yetu, ni kijana mahiri, mwana CCM, Mzalendo, mchapakazi, jasiri, mpendawatu na mwanamapinduzi.
Tunataka Mwigulu zaidi ya yeye anavyotuhitaji.

Huyo ana gombea jimbo tofauti na la Mwigulu
 
Back
Top Bottom