Mtangazaji wa Clouds Michael Lukindo aacha kazi ya utangazaji, aamua kufanya muziki. Afuata nyazo za kina Ray C

Mtangazaji wa Clouds Michael Lukindo aacha kazi ya utangazaji, aamua kufanya muziki. Afuata nyazo za kina Ray C

Zakamwamoba

Senior Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
177
Reaction score
609
Mtangazaji wa Cloud aacha kazi ya utangazaji,aamua kufanya muziki afuata nyazo za kina Ray C
MTILAH BLOG / 7 hours ago




Michael Lukindo

Kama wewe ni msikilizaji mzuri wa radio hasa Cloud Fm basi utakuwa unamfahamu au kuwahi kumsikia mtangazaji Michael Lukindo.
Habari ni kwamba Michael Lukindo ameamua kuachana na mambo ya utangazaji na kujikita katika masuala ya muziki kwa sababu ameona ana kipaji kizuri cha kuimba.

Michael lukindo ambae alifaamika kwa jina la Mr Infoma aliacha kusikika Cloud Fm tangu mwezi februari mwaka huu.

Maamuzi ya namna kama hiyo yamewahi kufanywa na wasanii Ray C na Vanessa Mdee ambao waliacha kazi ya utangazaji na kuamua kujikita kwenye Muziki.

Kwa sasa Michael Lukindo anatamba na wimbo wake mpya aliouachia hivi karibuni unaoitwa "Basi iwe",unaweza kuupata kwenye YouTube channel yake ya Michael Lukindo.

CHANZO: MTILAH BLOG
 
Huyu jamaa nilikua namkubali tokea akiwa eafm...jamaa Ana sauti nzuri ambayo anaijua kuipangilia pindi akiw on Air. Big up bro
 
Hata hivyo hicho kiradio alichokuwa anatangazia kimechoka ile mbaya na kinalibia kufa

Jamaa kajiongeza
Sioni Dalili ya Cloud kufa, Sioni kinachopungua, hususani kwa vipindi, ambavyo mimi navisikiliza, kama wafanyakazi hawalipwi, hawalipwi sijasikia.
 
Back
Top Bottom