Mtangazaji wa CTN Rahma Aziz

Yani acha tuu mi nilikuwa napenda saidi mwisho wa kipindi akimalizia kutaja jina lake kwa mapozzz mi hoi

watangazaji wa zamani walikua na mapozi sana wanapotaja majina yao
angalia Masoud Masoud, Charles Hillary, Ahmed Kipozi
 
Hivi na Irene Malonga naye wa ITV kapotelea wapi maana tangu aolewe akaacha kabisa kazi
 
Hizi CTN bado ipo?? Inapatikana ktk king'amuzi gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…