LEX STEELE
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 224
- 110
Mke wa mtu mtamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wapo wengi tu hawakumbuki, kama vile Misanya Bingi, Vicky Msina, Nicky Ngonyani, Sunday Shomari, Kiyungi Nk.
Yupo Anaishi Leicester England, ameolewa na ana watoto wawili
Yani acha tuu mi nilikuwa napenda saidi mwisho wa kipindi akimalizia kutaja jina lake kwa mapozzz mi hoi
watangazaji wa zamani walikua na mapozi sana wanapotaja majina yao
angalia Masoud Masoud, Charles Hillary, Ahmed Kipozi
yani acha tuu mi nilikuwa napenda saidi mwisho wa kipindi akimalizia kutaja jina lake kwa mapozzz mi hoi
Umeona eenh kwel
Hivi na Irene Malonga naye wa ITV kapotelea wapi maana tangu aolewe akaacha kabisa kazi
Rahma Aziz ni huyu hapa, bado anang'aa kama zamani na mvuto bado 100%, Na pia anapatikana Facebook kwa jina la Classic Rahma, is there anything else u want to know huh?View attachment 143130View attachment 143131,View attachment 143128View attachment 143129 Hii ya Mwisho yuko na Mr wake...!
Sent from my iPhone
Dah kaharibu ataolewaje na ngozi nyeusi? Au nimeona vibaya hiyo picha. Dah amenisikitisha sana hizo nywele, rangi utalipaje JITU JEUSI