Mtangazaji wa Efm Maulid Kitenge tumekuvumilia vya kutosha na sasa unatuchosha kama siyo kutuboa

Sijui ni lini huyu Mtangazaji ataacha hii tabia yake ya kipuuzi na ya kimakusudi ambayo sasa ameshaifanya kama vile kuwa ndiyo utaratibu wake wa kila siku anapokuwa Kazini hapo Studioni Efm.

Ni kwamba kila pale ambapo kunakuwa na taarifa ya ' kuiathiri ' Klabu ya Simba Sports Club au taarifa ' mbaya ' ya kuihusu Simba SC au ina ' uelekeo ' mbaya kwa Simba SC yeye katika kutafuta ' maoni ' ya ama Wadau wa mpira au wenye Mamlaka ya Kitaaluma ya kuhusu mchezo wa mpira wa miguu yeye huwapigia tu wale ambao ni Wana Yanga FC ' lia lia ' kabisa halafu anawahoji na hata akiwa anawahoji huanza kwanza kuwauliza ' Maswali ' shawishi ambayo automatically tu yatamfanya yule anayeongea nae aelekee kule ambapo anakutaka Yeye na hapa namaanisha Yanga FC ambako hakuna asiyejua kuwa Mtangazaji Maulid Kitenge ni Mwanachama wake wa ' Kutukuka '.

Wanataaluma wa hiyo ' Tasnia ' sasa tumechoshwa kabisa na hii tabia ya ' hovyo hovyo ' hasa ya Kiutangazaji ambayo anaifanya Maulid Kitenge kiasi kwamba sasa anaanza ' kutukera ' wasikilizaji wa Vipindi vyao vyote vya michezo vya Efm.

Tunamtaka abadilike upesi kama siyo haraka vinginevyo sasa nasi ' anaotuudhi ' tutaamua ' kufyatuka ' dhidi yake.

Mbona Watangazi wenzie wengi tu wakiwa wanatangaza huwa hawaonyeshi ' Mahaba ' yao upande fulani japo sisi Watu wa mpira ( michezo ) huwa tunawajua wapo wapi Kiushabiki? Nani anayeweza kujua Mtangazaji Said Kilumanga au Alex Luambano au Amri Masare wanashabikia Vilabu / Timu gani hapa Tanzania?

Mfikishieni taarifa hii kuwa tumemchoka na karibuni sasa sisi anaotuumiza uvumilivu dhidi yake utafikia ' Kikomo '.

Nawasilisha.
Kelele nyingiii hamchelewagi kusema eti wanaoulizwa ni wale wenye ugomvi na Club, hivi mngeshinda ingekuwaje, hovyoo kabisa timu la watu wenye makelele kama wewe mnategemea point za mezani, shame on you.
 
Acha ngebe wewe mpira uwanjani na sio mezani hakuna atakayekusaport kwa hili haya hao Simba damu hawapendi hichi kitu ambacho 72hrs imekifanya cha kuwapa point thimba wakati walikalia DUDE.....Hakuna kadi 3 za njano wala nini.
Waambien kwanza Serengeti Boys mpira uwanjani sio mezani halaf ndio mje kwenye Suala la Simba
 
Dah hasa jana kipindi cha MICHEZO kaniboa sana hasa pale hakutaka kutoa nafasi kwa IBRAHIM MASOUD "MAESTRO" kuelezea alivyomuelewa Manara akawa anamkatisha..huyu jamaa ni YANGA AFRICANS KINDAKINDAKI na huwa anaonyesha kabisa..mbona akina LWAMBANO huwawezi kujua kama ni timu gani..kweli mnaemfahamu mwelekezeni, ila binafsi napenda anavyoripoti michezo kwa mbwembwe..
teh teh Maestro ni Yanga?
 
Nasisi tumekuvumilia vyakutosha una chuki sana na watangazaji wa radio na TV kila siku wewe ni kulalama...
 
Acha hizo.Mtangazaji hasa wa michezo anabeba hisia za watu.Licha ya kwamba naye ana haki kama mwanadamu kuonyesha hisia zake kwa timu anayoipenda lakini sababu za kitaaluma na za kibiashara pia zinamtaka ajidhibiti kuonyesha yuko upande gani.Vinginevyo sisi wa upande mwingine tutakuwa tunajihisi unyonge kwani tupo nje ya studio na hatuwezi kujitetea kwa vijembe vinavyoelekezwa kwetu.Ili kuepuka unyonge mtu anaweza akaamua asikilize radio nyingine.Mimi mwenyewe ni shabiki wake mkubwa na ninavutiwa na utangazaji wake lakini nasi atuone basi.Lengo ni kuboresha tu.
 
Sijui ni lini huyu Mtangazaji ataacha hii tabia yake ya kipuuzi na ya kimakusudi ambayo sasa ameshaifanya kama vile kuwa ndiyo utaratibu wake wa kila siku anapokuwa Kazini hapo Studioni Efm.

Ni kwamba kila pale ambapo kunakuwa na taarifa ya ' kuiathiri ' Klabu ya Simba Sports Club au taarifa ' mbaya ' ya kuihusu Simba SC au ina ' uelekeo ' mbaya kwa Simba SC yeye katika kutafuta ' maoni ' ya ama Wadau wa mpira au wenye Mamlaka ya Kitaaluma ya kuhusu mchezo wa mpira wa miguu yeye huwapigia tu wale ambao ni Wana Yanga FC ' lia lia ' kabisa halafu anawahoji na hata akiwa anawahoji huanza kwanza kuwauliza ' Maswali ' shawishi ambayo automatically tu yatamfanya yule anayeongea nae aelekee kule ambapo anakutaka Yeye na hapa namaanisha Yanga FC ambako hakuna asiyejua kuwa Mtangazaji Maulid Kitenge ni Mwanachama wake wa ' Kutukuka '.

Wanataaluma wa hiyo ' Tasnia ' sasa tumechoshwa kabisa na hii tabia ya ' hovyo hovyo ' hasa ya Kiutangazaji ambayo anaifanya Maulid Kitenge kiasi kwamba sasa anaanza ' kutukera ' wasikilizaji wa Vipindi vyao vyote vya michezo vya Efm.

Tunamtaka abadilike upesi kama siyo haraka vinginevyo sasa nasi ' anaotuudhi ' tutaamua ' kufyatuka ' dhidi yake.

Mbona Watangazi wenzie wengi tu wakiwa wanatangaza huwa hawaonyeshi ' Mahaba ' yao upande fulani japo sisi Watu wa mpira ( michezo ) huwa tunawajua wapo wapi Kiushabiki? Nani anayeweza kujua Mtangazaji Said Kilumanga au Alex Luambano au Amri Masare wanashabikia Vilabu / Timu gani hapa Tanzania?

Mfikishieni taarifa hii kuwa tumemchoka na karibuni sasa sisi anaotuumiza uvumilivu dhidi yake utafikia ' Kikomo '.

Nawasilisha.

Haya mtu wa mpira
 
Mtoa mada acha ujinga wa kuwafundisha watu na kuingilia majukumu yao. Ile ni kazi yenye taaluma aliyosomea akafaulu. Usiwafundishe watu kufanya kazi zao. Kama una mapenzi ya kupitiliza na Simba basi usisikilize radio hiyo. Na ukitaka kile upendacho ndicho kitangazwe basi fungua au anzisha radio yako. Kwa taarifa yako katika watangazaji na waandishi wa habari za michezo wanaoongoza kwenye radio station hakuna anayewafikia Maulid Kitenge na Omary Katanga.
 
Juzi kati ulikua na Enock na leo Maulid sijui kesho nani

Watangaze kwa haki na siyo ' kuendekeza ' Uyanga wao kwani wanatuchefua wengi. Mbona Mtangazaji mahiri kabisa wa michezo ' Kamarada ' Isaac Muyenjwa Gamba ' Nyagabona ' ambaye sasa yupo DW ya Ujerumani kama sijakosea ni mwana Simba SC na hakuna asiyelijua hili ILA akiwa tu Kazini hutangaza kwa usawa na haki bila hata chembe ya Upendeleo kwa Simba SC sasa iweje tu ' matatizo ' haya awe nayo mwana Yanga FC mwenzenu Maulid Baraka Kitenge?
 
Mkuu kwanini unamshambulia yeye binafsi hasa umbo lake, Kwani linahusiana nini na hiyo tabia usiyo ipenda?

Mimi Mtu anayeipenda Yanga FC tena kwa kupitiliza na kutotenda haki namwona ni adui yangu mkubwa kama ulivyo vile ugonjwa hatari wa UKIMWI.
 
acheni kulialia semeni kadi tatu za njano zilipatikana lini sio kutaka point za mezani, jana manara katoa povu weee ila hamna kitu cha maana alichoongea!
wp uliona dunian mshatoa maamuz alafu mnarudia tena alafu mnamwita mchezaji atoe ushahid na refa tena kuhusu card muulize kitenge au malinzi
 
Bongo Soccer nao wajiangalie sana si kwaujinga huu wakupeana ubingwa kienyeji...
 
mimi huwa sisikilizi hiyo radio station, pole sana.

Anachoniboa mimi huyu bwana KITENGE ni namna anavyotangaza mpra kupitia DSTV. huyu bwana alikuwa na sauti nzuri tu yake binafsi ila sijui sikuhizi anamuiga nani kuongea. anatangaza sauti ya hovyo ya kujilazimisha. huwa nikikuta anatangaza mpira yeye naona bora nisimsikilize. nimejaribu kuwaza na kuwazua nikahisi anaiga sauti ya Salim Kikeke wa BBC.
kwanza hii tabia ya vituo kutanganza mpira we ulaya kwa kiswahili unaboa sana.... tunakosa mambo mengi toka kwa watangazaji wa ligi husika aisee
 
Nasisi tumekuvumilia vyakutosha una chuki sana na watangazaji wa radio na TV kila siku wewe ni kulalama...
Ana gubu sana hyu jamaa nasi tumemvumilia vya kutosha pia asijione bingwa wa kuvumilia wenzie!
 
Wanavyolalamika kwa mtu asiyejua anaweza kudhani Simba ilishinda ikaporwa point!kumbe waliukalia
Yaani wanavyolalama leo hii akija mgeni atadhani simba alishinda mbili moja hlf Kagera ndio wakaenda kudai mezani!
 
Back
Top Bottom