GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Wengine wameondoka na basi jana na huenda kwa sasa bado wako njiani kufika Mkoani Mwanza ili sisi wengine na Jitu la Mitumba tunaondoka kwa Ndege tu na tutafika kabla yao na Kesho tutakimbia pamoja kisha nitakwea tena Pipa na Kurejea zangu Dar es Salaam" alisema Mtangazaji Maulid Kitenge leo akiwa katika Kipindi chao cha Sports Headquarters cha EFM.
Nami GENTAMYCINE nasema ni bora (Kheri) uwe Masikini ila usiwe Mshamba kuliko kuwa tajiri halafu bado ni Mshamba na limbukeni sana.
Hakika Ushamba ni Mzigo kweli kweli.
Nami GENTAMYCINE nasema ni bora (Kheri) uwe Masikini ila usiwe Mshamba kuliko kuwa tajiri halafu bado ni Mshamba na limbukeni sana.
Hakika Ushamba ni Mzigo kweli kweli.