GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Aliyekuambia kila aendae au aishiye Ulaya na Marekani ni Mjanja nani? Na Wewe jambo hili jepesi limekushinda Kulielewa?Hivi huyu Kitenge anayekwenda ulaya na Marekani kama kariakoo unapata wapi ujasiri wa kumuita mshamba?
Ndugu yangu wewe sijui unaishia maisha ya aina gani, Kuna vitu hata hupaswi kuvifungulia uzi yaaniAliyekuambia kila aendae au aishiye Ulaya na Marekani ni Mjanja nani? Na Wewe jambo hili jepesi limekushinda Kulielewa?
Hujui kuna Watu wako Bongo ni Wajanja wa Kuwazidi hawa Unaoshoboka nao na Kuwaogopa kwa kwakuwa tu Passports zao zina Mihuri mingi ya Migrations kuliko yako ambayo huenda haina hata Mhuri Ukurasa wa Kwanza tu?
Na ni kwanini 85% ya Watu maarufu wengi wakienda huko Ulaya na Marekani wakirejea Bongo wanarudi na Ushoga Mwiba?
Yaani huachagi tu kumsakama Kitenge lam"Wengine wameondoka na Basi Jana na huenda kwa sasa bado wako njiani kufika Mkoani Mwanza ili Sisi Wengine na Jitu la Mitumba tunaondoka kwa Ndege tu na tutafika kabla yao na Kesho tutakimbia pamoja kisha nitakwea tena Pipa na Kurejea zangu Dar es Salaam" alisema Mtangazaji Maulid Kitenge leo akiwa katika Kipindi chao cha Sports Headquarters cha EFM.
Nami GENTAMYCINE nasema ni bora ( Kheri ) uwe Masikini ila usiwe Mshamba kuliko kuwa Tajiri halafu bado ni Mshamba na Limbukeni sana.
Hakika Ushamba ni Mzigo kweli kweli.
Umekunywa Kidonge chako cha Kurukwa na Akili Kwako huku? Kama bado Kunywa Kwanza ili baadae ukija Uandike vya maana sawa?Ndugu yangu wewe sijui unaishia maisha ya aina gani, Kuna vitu hata hupaswi kuvifungulia uzi yaani
Na wewe una Bodaboda ya mkataba?Bora kitenge kuliko Lema. Huyu kada wa CHADEMA kukaa Canada miaka 2 karudi na kuona bodaboda na vicoba kama upuuzi mtupu.
Kwahiyo unataka nimsakame Unayemzalia mara kwa mara labda ndipo Uridhike?Yaani huachagi tu kumsakama Kitenge lam
Hata huko Marekani wapo washambaHivi huyu Kitenge anayekwenda ulaya na Marekani kama kariakoo unapata wapi ujasiri wa kumuita mshamba?
Tena wengi tu na nimeshangaa hajui.
Hata wewe ni mpuuzi kuleta mada za wanasiasa huku uchawa wako unakutoa ufahamu.Bora kitenge kuliko Lema. Huyu kada wa CHADEMA kukaa Canada miaka 2 karudi na kuona bodaboda na vicoba kama upuuzi mtupu.
alikuwa anaongea kwa utani"Wengine wameondoka na Basi Jana na huenda kwa sasa bado wako njiani kufika Mkoani Mwanza ili Sisi Wengine na Jitu la Mitumba tunaondoka kwa Ndege tu na tutafika kabla yao na Kesho tutakimbia pamoja kisha nitakwea tena Pipa na Kurejea zangu Dar es Salaam" alisema Mtangazaji Maulid Kitenge leo akiwa katika Kipindi chao cha Sports Headquarters cha EFM.
Nami GENTAMYCINE nasema ni bora ( Kheri ) uwe Masikini ila usiwe Mshamba kuliko kuwa Tajiri halafu bado ni Mshamba na Limbukeni sana.
Hakika Ushamba ni Mzigo kweli kweli.
Sawa mkuuUmekunywa Kidonge chako cha Kurukwa na Akili Kwako huku? Kama bado Kunywa Kwanza ili baadae ukija Uandike vya maana sawa?
Like your Mum.We kweli ki.hio
Alikuwa anamwambia Jemedari,Oruma na Geoff ili wapambane na maisha,wasitegemee tsh 10,000/-@kipondi.wataishia kupokea bahasha za bi chaunabe.kupanda daladala hakutawaisha na jasho la kwapa"Wengine wameondoka na Basi Jana na huenda kwa sasa bado wako njiani kufika Mkoani Mwanza ili Sisi Wengine na Jitu la Mitumba tunaondoka kwa Ndege tu na tutafika kabla yao na Kesho tutakimbia pamoja kisha nitakwea tena Pipa na Kurejea zangu Dar es Salaam" alisema Mtangazaji Maulid Kitenge leo akiwa katika Kipindi chao cha Sports Headquarters cha EFM.
Nami GENTAMYCINE nasema ni bora ( Kheri ) uwe Masikini ila usiwe Mshamba kuliko kuwa Tajiri halafu bado ni Mshamba na Limbukeni sana.
Hakika Ushamba ni Mzigo kweli kweli.