Mtangazaji wa EFM Radio Maulid Kitenge acha Dharau na Sanifu zako kwa wana EFM Jogging Club wako

Bora kitenge kuliko Lema. Huyu kada wa CHADEMA kukaa Canada miaka 2 karudi na kuona bodaboda na vicoba kama upuuzi mtupu.
Sasa na wewe kwa akili ya kawaida tu,vicoba vina mchango gani kwa ukuaji wa taifa??
 
Sasa na wewe kwa akili ya kawaida tu,vicoba vina mchango gani kwa ukuaji wa taifa??
Wewe mpumbavu elewa kwanza VICOBA (Village Community Bank) vipo kisheria na vina utaratibu mzuri kwenye uendeshaji. Ni tofauti na vikundi vya upatu ambavyo havina faida yoyote na ni hatari kwa hela zako. Wewe na mumeo Lema mnashindwa kutofautisha VICOBA na hivyo vikundi.
 
Wazee wa flight [emoji3575][emoji928] tumekaa tumetulia tu hatu brag hatuna mbambamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…