Mtangazaji wa EFM Twalib Muwa: Simba SC kuishinda Al Ahly labda ishinde Njaa tu

Mtani umechafukwa..!! Sasa angalia hili povu ulilolimwaga hapa, mkifungwa litakugeukia 110% wallah. Time will tell
 

Kama hana akili unamfuatilia kujua habari zake ili iweje…???
 
Mwanzo umesema kuwa Wewe husikilizi Redio na Kunishangaa / Kutushangaa tunaosikiliza Redio cha Kushangaza hapa unewataja Wachambuzi wako bora wa Redio ambao huwa Unawasikiliza na Kuwapenda na kusema kuwa huwa unawatizama katika Television na YouTube.

Hivi hujui kuwa Content hiyo hiyo unayoitizama Wewe huko katika Television na Mtandaoni YouTube ndiyo hiyo hiyo hata Sisi wa Redioni tunaipata? Sasa hapo tofauti yako na yangu ni ipi au ni nini?.

Halafu nikikuita Mpumbavu unachukia.
 

You are too local young [emoji67]
 
GENTAMYCINE

Kwanini huwezi kuandika mada yako mpaka uhusishe matusi.

Halafu mbona Twalib Muwa ni kama katoa maoni yake tu ambayo ni ya kawaida lakini wewe umeumia mno.

Jitahidi kuwa humble ndugu,matusi hayasaidii chochote,kuna namna ya uwasilishaji wa hoja zako kwa staha bila kudhalilisha maisha binafsi ya mtu.

Najua utanitukana na mimi mtoto wa kiume nawezaje kutype matusi?
Ni ngumu kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…