Mtangazaji wa ITV Farhia Middle mwenye number yake!

vevenononombo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Posts
1,289
Reaction score
421
Huyu mtangazaji wa ITV namkubali sana ninazawadi yake.

Mwenye number yake please, naomba mnisaidie kuipata.

Asanteni.
 
Kuna harufu ya uzi wa mrejesho hapa na itakuwa hivi......"basi akinipa kata-funua moja matata sana...."[emoji41]
 
Yule mpe zawadi ya kumtafutia kazi mahala pengine maana pale mkataba hana
 
Farhia Middle
ITV wana vifaa sana kila siku mtu mpyaaaaa
 
weka picha kwanza tumuone ndio tukutafutie mawasiliano yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…