vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
- Thread starter
-
- #41
Weka namba yakoNipatie hiyo zawadi nmpatie, mm ni mtu wake wa karibu...
Kumbe unamaanisha unataka kumpa zawadi kweli mkuuuWeka namba yako
...ndie huyu!??basi sawa!
Mtangazaji wangu wa ukweli...ndie huyu!??basi sawa!
Viva nombo. Habari za miaka mingi?Huyu mtangazaji wa ITV namkubali sana ninazawadi yake.
Mwenye number yake please, naomba mnisaidie kuipata.
Asanteni.
Salama mkuuViva nombo. Habari za miaka mingi?
Mtoto mtamu sana huyumagreth cosmas
Mzee mwenyekiti wa makampuni anapiga kiulaiiiiiiiiiniAna shepu la kimarangu
Nimekupata. Wapi hiyo siku hizi?Salama mkuu
Mwambie nipo naye hapa serena, muulize anasemaje?Haaaaaa nenda ofisi za ITV kupeleka hiyo zawadi
Juzi nilimuona itv niliposoma jina lake nikapata swali kama lako.hivi hao kina 'middle' ni watu wa mkoa gani?π
Umejuaje kama ni mtamu? Au kila kitu kinachoonekana kizuri basi ni kizuri?ITV kuna visu vya hatarii sjui wanavitoa wapi cheki toto jackline silemu lile mtam balaa
Hiyo Midle nadhani ni ukanda wa kati (kondoa, singida etc).Yule dada ni mtu wa tanga
Atakuwa anayajua mapenziYule dada ni mtu wa tanga
Nasikia yuko single, hana mume wala mchumba, sijui ni kweli?Atakuwa anayajua mapenzi