vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Huyu mtangazaji wa ITV namkubali sana ninazawadi yake.
Mwenye number yake please, naomba mnisaidie kuipata.
Asanteni.
Mwenye number yake please, naomba mnisaidie kuipata.
Asanteni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo wanawaza mapenzi tu duh!hii hatar Trump yuko sahii sanaMwenzio ameshawahi kupigana studio kisa bwana
Acha kupoteza muda kuna mwenzio napiganiwa huko
DrcHaaaaaa nenda ofisi za ITV kupeleka hiyo zawadi
Kwa utangazaji wakeUnamkubali kwa lipi?
hivi hao kina 'middle' ni watu wa mkoa gani?😀
Hana mkataba? Ebbo?Yule mpe zawadi ya kumtafutia kazi mahala pengine maana pale mkataba hana
ZawadiMwache apeleke zawadi ila asiache kuleta MLISHONYUMA
Lakini waafrika hatuwafikii wale wenye kutaka hadi nasi turuhusu watu wa jinsia moja waowane kwa jinsi wanavyopenda ngono.Wabongo wanawaza mapenzi tu duh!hii hatar Trump yuko sahii sana
ha ha ha umenichekesha sanaWabongo wanawaza mapenzi tu duh!hii hatar Trump yuko sahii sana