MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ungekuwa ni Great Thinker hasa usingeniandikia huu Uharo na Upuuzi wako hapa. Huna Akili acha Kunipotezea muda wangu sawa?Usiwalaumu kwa hili, hata wao wana familia na wanahitaji kuishi vizuri, silaha yao ni kalamu tu hawana uwezo wowote wa kuwagomea /kuwazuia wenye mamlaka wakiamua jambo lao.
Kama una muda, usingehangaika kujibu.Ungekuwa ni Great Thinker hasa usingeniandikia huu Uharo na Upuuzi wako hapa. Huna Akili acha Kunipotezea muda wangu sawa?
Hopeless.Kama una muda, usingehangaika kujibu.
Rehema mwakangaleIt's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.
Hili nililijua baada ya kifo cha Daudi Mwangosi wa Channel Ten.
P
Kiukweli wewe mama D , unafaa sana uwe kungwi wa wake zetu, baada ya wanawake wengi kuujua udhaifu wetu sisi wanaume, basi ndio wanautumia kama fimbo kutuadhibu!. Mara tunyimwe eti "siko kwenye mood kabisa!", mkiwa wawili watatu ni hakuna USUMBUFU.
P
Ni sahihi, mke anaolewa kimila si lazima kwenda kanisani, kanisa linatambuwa ndoa ya mtu mmoja, lakini mtu mwenye akili timamu na anayezitumia vizuri hawezi kufungwa na kanisa.Okay..
Kwa hiyo mume mkristo kumiliki zaidi ya mke mmoja ni sahihi?
Msiba ulikuwaje mkuu??
Beatrice siyo Author wa hii story.Kwa jambo hili namjengea rafiki yangu Beatrice sanamu la heshima.
[emoji24][emoji24][emoji24] kuna haja ya maslahi ya wanahabari kuboreshwa na kupiganiwa kwa sharti la wao kutii na kufuata sheria na kanuni za taaluma hii.It's very true, hiyo ndio kazi yetu na hayo ndio maisha yetu.
P
Usiangaike na wagonjwa wa akili, maana tutashindwa kujuwa tofauti yenu.Kama una muda, usingehangaika kujibu.
Duh...!Nasikitika na nashangaa kuwa muda Wote hukujua kuwa hakuna Watu Hypocrites na Hopeless duniani kote kama Waandishi wa Habari wa Tanzania.
Media, hatukunyamaza, media zote tuliandika, uwezo wetu ni kuandika tuu. hatuna kitu kingine chochote cha kufanya zaidi ya kuandika, au ulitaka tufanye nini?. Baada kifo cha Daudi Mwangosi, media tukataka kususia habari za polisi lakini tulishindwa, na RC wa DSM, Paul Makonda alipovamia Clouds, TEF ikatuhamssishe tususie habari za Makonda, tulishindwa!. Media Kususia Habari za Fulani: Jee Tanzania Tuna Independent Media Yenye Jeuri Hiyo?.Wewe umeibuka leo Kuwasema kwakuwa tu kuna Tukio limemtokea huyu Makubi ila ulijiiuliza ni kwanini kwa lile Tukio la Mwenzao wa MWANANCHI aliyepotelea mazima Kibiti walinyamaza na kuwaachia tu Waajiri wake MCL ndiyo wampiganie katika Kumtafuta?.
Hapa labda utueleweshe.Ukitaka tu kujuua Kiini cha tatizo la Waandishi wa Habari wa Tanzania anza Kuliangalia Jukwaa lao la Wahariri ( TEF ) kisha waangalie Kiumakini Watendaji wake Wakuu akina Balile na Wenzake utanielewa nikisemacho hapa.
Naomba tufafanulieKitendo tu cha Misingi ya Uandishi wa Habari kuanza Kuharibiwa na Kuingiliwa na Watawala ( hasa Wanasiasa ) na Watu wa Mfumo ( System ) ndiyo Safari yao ya Kifo Kitakatifu cha Kitaaluma ilianzia hapo.
Hii ni tuhuma nzito!. Thibitisha!.Leo hii Vyombo vyote vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari nchini Tanzania wamekuwa ni Government Mouth Piece and PR Machine yao badala ya kuwa The Voice of the Voiceless na kusimama katika Kuibua Masuala, Kukosoa na kuonyesha the way forward ya Matatizo Mtambuka ya nchi yetu hii ya Tanzania.
Hii ni tuhuma nzito, Thibitisha!Nina mengi ya Kukuambia kuhusiana na hili na hii Taaluma nzima ya Habari na Mawasiliano ila nikuambie tu usichokijua ni kwamba baada ya Serikali kuonyesha kuwa inawateua Waandishi wa Habari katika Nafasi za Kisiasa na Kiutendaji hivi sasa ukiwa huko News Room katika 99% ya Media Outlets kinachofanyika ni Kusifu na Kunipotezea kwa Watawala ili Wasikike na Wateuliwe
Duh...!, hii ni tuhuma nzito sana!, Thibitisha kwa wale uliowasindikiza kwa waganga, wale uliowashikia miguu wakati wanalalwa, na kuambukizwa HIV na hao waliowalala na kisha ukawashikia tena miguu wakati wakiwabukiza HIV wenzao mbalimbali katika vyombo vya habari tofauti tofauti!.na wapo ambao mpaka Wanaroga na Kulalwa hovyo ili Wateulowe au wapigiwe Pande wapate Uteuzi badala yake Uteuzi hawaupati ila wanachokipata ni Kuambukizwa HIV na Wao Kuwaambukiza Wenzao mbalimbali katika Vyombo vya Habari tofauti tofauti.
Duh...!, kama hakuna media nchini, jee hii media iliyopo na tunayoita ni media ya Tanzania ni nini?!.Tumechelewa na hakuna Media nchini.
Naunga mkono hoja!.Nawashangaa sana waandishi wazoefu wanaotafuta kazi zama hizi, zama hizi ni za social media makampuni kibao yanahitaji wenye ujuzi wa uandishi wa habari. ni kuji tune tu kidogo na kujiongezea maarifa ya IT hususan kwenye graphics, kazi zimejaa tena wanatafutwa.
Ni vyepesi sana mmwandishi wa habari kujiajiri mwenyewe kwa dunia ya leo kuliko fani yoyote ile. Mwanidishi anaweza kuwa freelancer au correspondent wa media kibao zilizojazana.
Tuna tatizo kubwa sana la uelewa Tanzania hii. Tuko finyu sana.
Tanzania bado waandishi wanakimbizana na vibahasha tu. Ni ujinga wa hali ya juu.
Naunga mkono hoja[emoji24][emoji24][emoji24] kuna haja ya maslahi ya wanahabari kuboreshwa na kupiganiwa kwa sharti la wao kutii na kufuata sheria na kanuni za taaluma hii.
Naunga mkono hojaWana familia zinawategemea kwa mahitaji, wanauguza, wanasomesha n.k
This is true, and this is how it should beNatamani wanahabari wetu wawe huru na wasihodhiwe. Wafanye kazi yao kwa uhuru.
Kiukweli sijawahi kufikiria kuanzisha movement yoyote, ila kama baada tuu ya kuuliza lile swali Ikulu siku ile, kilichofuatia ni siri yangu!. Jana nimemsikia Mama kasema Rais Samia: Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa na kukupuliza. Lakini "Ukinipara...Nakuparura!, kuna kuanzisha movement yoyote kweli?.Mayalla umewahi kufikiria kuanzisha movement yoyote kutetea maslahi za wenzio kwenye circumstances ngumu kama hizi?!
Mungu huwatumia hata wale wanaoonekana kuwa dhaifu kabisa, wale ambao wewe unawaita 'kajanja'!Wewe mwenyewe kanjanja tu utamsaidiaje mwenzio kuajiliwa nje?
Unadhani una uwezo huo? Hebu acha vituko!
Kuanzia ulipotangaza kuwa Kada wa CCM huna haja ya kutuambia kuwa hujafikiria kuanzisha movement yoyote, tuambie tu kwamba huwezi kabisa kuthubutu kufanya jambo kama hilo!Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja
This is true, and this is how it should be
Kiukweli sijawahi kufikiria kuanzisha movement yoyote, ila kama baada tuu ya kuuliza lile swali Ikulu siku ile, kilichofuatia ni siri yangu!. Jana nimemsikia Mama kasema Rais Samia: Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa na kukupuliza. Lakini "Ukinipara...Nakuparura!, kuna kuanzisha movement yoyote kweli?.
P
Ni kweli!Naomba nisiende kwa specifics, ila ni media zote Tanzania with the exception of TBC, most of their correspondents wao ni deiwakas.
Kwa baadhi ya media, hata staff karibu wote ni deiwakas.
P
Wanasubiri U DC!Kumbe ITV nao ni wakora?