Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Dr Slaa aliahidi kuwasomesha watoto wa Mwangosi mpaka chuo kikuu, tunaomba ulifuatilie hili kwa familia ya Mwangosi hii ahadi inakelezwa?Ilikuwa bado ya yule Bulushi
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Slaa aliahidi kuwasomesha watoto wa Mwangosi mpaka chuo kikuu, tunaomba ulifuatilie hili kwa familia ya Mwangosi hii ahadi inakelezwa?Ilikuwa bado ya yule Bulushi
P
Wazungu na Waarabu, walipokuja Africa na kutuletea dini zao, walitukuta na dini zetu za asili, mila na desturi, wakaziponda kuwa ni za kishenzi na kutuletea Ukristo na Uislamu.
Walitukuta na mila za wake wengi, Uislamu unafundisha mwisho wanne, Ukristo mwisho mke mmoja. Kumbe huu ni uongo!.
Kwenye zile dini zetu za asili, mila na desturi, sio kila kitu ni cha kishenzi, kuna mazuri mengi tuliyaacha, miongoni mwa mazuri hayo ni baadhi ya tiba asili, jando na unyago na mila za wake wengi.
Baada ya ndoa ya Kikristu kanisani, niliposema Bible kwa makini, nikagundua kumbe ndoa ya mke mmoja sio mpango wa Mungu!, hakuna popote ndani ya Bible Mungu kazuia ndoa za wake wengi, ni scheme tuu za wazungu, wenzetu hawana nguvu za mitala hivyo kulazimisha mke mmoja.
Hivyo akina sisi timeamua kumfuta Mungu wa kwenye Bible na sio ule uongo wa wazungu!.
P
Aisee!
Mtumishi mama D, maoni yako juu ya hili tafadhali 😊
Ukianzisha kanisa lazima upige ela za sadaka.Kwanza kabisa mwanaume ndio mwenye maamuzi na uchaguzi wa kuoa na pia Ndoa sio shurti.
Yaani kama huhitaji mahitaji ya ndoa hulazimishwi kuoa
1WAKORINTO 7: 8-9
8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Pili, habari ya ndoa ya mke mmoja au kuishi na mke mmoja maisha yako yote ni kitu kingine kabisaa
Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini;
Esta 1: 9-20
Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.
Hata siku ya saba, mfalme alipofurahiwa moyo wake kwa divai, aliwaamuru wale wasimamizi-wa-nyumba saba waliohudumu mbele za mfalme Ahasuero, wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso.
Bali Vashti, malkia, alikataa kuja kwa amri ya mfalme kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba; kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, na hasira yake ikawaka ndani yake.
Basi mfalme akawaambia wenye hekima, walio na elimu ya nyakati; Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Basi Memukani akajibu mbele ya mfalme na maakida, Huyu Vashti, malkia, hakumkosa mfalme tu peke yake, ila na maakida wote, na watu wote pia walioko katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero.
Kwa maana tendo hilo la malkia litajulikana na wanawake wote, hata waume zao watadharauliwa machoni pao, itakaponenwa ya kuwa mfalme Ahasuero aliamuru Vashti, malkia, aletwe mbele yake, bali hakuja.
Hata na leo hivi mabibi wastahiki wa Uajemi na Umedi waliokwisha kuzisikia habari za tendo lake malkia watawaambia vivi hivi maakida wote wa mfalme. Hivyo kutatokea dharau nyingi na ghadhabu tele.
Basi mfalme akiona vema, na itoke kwake amri ya kifalme, nayo iandikwe katika sheria za Waajemi na Wamedi isitanguke, ya kwamba Vashti asifike tena mbele ya mfalme Ahasuero; na umalkia wake mfalme ampe mwingine aliye mwema kuliko yeye.
Basi mbiu ya mfalme atakayoipiga itakapotangazwa katika ufalme wake wote, nao ni mkubwa, wake wote watawaheshimu waume zao, wakubwa kwa wadogo.
Esta 2: 1- 4; 16 - 17
Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri;
naye mfalme aweke wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wakusanye pamoja mabikira vijana wazuri wote waende Shushani ngomeni, kwenye nyumba ya wanawake mikononi mwa Hegai, msimamizi-wa-nyumba wa mfalme, mwenye kuwalinda wanawake; tena wapewe vifaa vya utakaso.
Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.
Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
You are dreaming my brother,,wake up... Never expect any abrupt changes over this industry..The named journalists have nothing else to do rather than to be watchdogs...Pascal Mayalla and other like minded Tanzania Journalists you have something very important to do in your industry! CAPACITY BUILDING & MENTORSHIP!
Tanzania has got very poor and worthless media industry particularly on Journalists!
I sometimes lough at myself after having listen from Prof.Mutahi Ngunyi and his "kids" at their Fort Hall School of Good Governance or presenters from Citizen TV, K24 ,NTV etc and compare to Journalists here at Home!
It will take us several decades to reach where our fellow Kenyans are today!
These poor Journalists we have here in Tanzania are the ones who entertain these short sighted politicians in our political arena!
Pascal Mayalla, Deodatus Balile,Manyerere Jackton and other serious Journalists you have to do something if you want this industry to mean something in this Country!!
Duh...!.Dr Slaa aliahidi kuwasomesha watoto wa Mwangosi mpaka chuo kikuu, tunaomba ulifuatilie hili kwa familia ya Mwangosi hii ahadi inakelezwa?
Ukianzisha kanisa lazima upige ela za sadaka.
Christina Shusho naye ni mchungaji sasa hivi.😄😄
Umeandika vitu ht mwenyewe hujui sisiemu hakika ina watu wapotevu sanaKwanza kabisa mwanaume ndio mwenye maamuzi na uchaguzi wa kuoa na pia Ndoa sio shurti.
Yaani kama huhitaji mahitaji ya ndoa hulazimishwi kuoa
1WAKORINTO 7: 8-9
8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Pili, habari ya ndoa ya mke mmoja au kuishi na mke mmoja maisha yako yote ni kitu kingine kabisaa
Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini;
Esta 1: 9-20
Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.
Hata siku ya saba, mfalme alipofurahiwa moyo wake kwa divai, aliwaamuru wale wasimamizi-wa-nyumba saba waliohudumu mbele za mfalme Ahasuero, wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso.
Bali Vashti, malkia, alikataa kuja kwa amri ya mfalme kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba; kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, na hasira yake ikawaka ndani yake.
Basi mfalme akawaambia wenye hekima, walio na elimu ya nyakati; Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Basi Memukani akajibu mbele ya mfalme na maakida, Huyu Vashti, malkia, hakumkosa mfalme tu peke yake, ila na maakida wote, na watu wote pia walioko katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero.
Kwa maana tendo hilo la malkia litajulikana na wanawake wote, hata waume zao watadharauliwa machoni pao, itakaponenwa ya kuwa mfalme Ahasuero aliamuru Vashti, malkia, aletwe mbele yake, bali hakuja.
Hata na leo hivi mabibi wastahiki wa Uajemi na Umedi waliokwisha kuzisikia habari za tendo lake malkia watawaambia vivi hivi maakida wote wa mfalme. Hivyo kutatokea dharau nyingi na ghadhabu tele.
Basi mfalme akiona vema, na itoke kwake amri ya kifalme, nayo iandikwe katika sheria za Waajemi na Wamedi isitanguke, ya kwamba Vashti asifike tena mbele ya mfalme Ahasuero; na umalkia wake mfalme ampe mwingine aliye mwema kuliko yeye.
Basi mbiu ya mfalme atakayoipiga itakapotangazwa katika ufalme wake wote, nao ni mkubwa, wake wote watawaheshimu waume zao, wakubwa kwa wadogo.
Esta 2: 1- 4; 16 - 17
Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri;
naye mfalme aweke wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wakusanye pamoja mabikira vijana wazuri wote waende Shushani ngomeni, kwenye nyumba ya wanawake mikononi mwa Hegai, msimamizi-wa-nyumba wa mfalme, mwenye kuwalinda wanawake; tena wapewe vifaa vya utakaso.
Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.
Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
Kwahiyo Kaka P unataka kutuambia hata ile ahadi ya Ndalichako kumsomesha mdogo wake Akwilina Akwilin Huenda nayo ikawa Kama ya Bwana Mihogo???Duh...!.
Kuna vitu na ahadi huwa vinasemwa msibani kutokana na watu kuwa so emotional, lakini baada ya msiba, the story ends up there pale pale makaburini!. Kama ni kweli aliahidi yeye kama yeye au yeye kama Chadema, ahadi ni deni, lazima itekelezwe!.
P
Inaumiza, wanahabari wa Bongo wanaishi maisha magumu sana.Malipo ni 15K per story. Hakuna mshahara wala mkataba
Mimi nilijua baada ya kifo cha Rehema Mwakangale, tukaambiwa amekuwa mfanyakazi wa ITV kwa mwaka 1!!! Kumbe muda wote kabla alikuwa deiwakaIt's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.
Hili nililijua baada ya kifo cha Daudi Mwangosi wa Channel Ten.
P
Mkuu mama D , ni katika kuelimishana tuu, what all this story for?!.Esta 1: 9-20
Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.
Hata siku ya saba, mfalme alipofurahiwa moyo wake kwa divai, aliwaamuru wale wasimamizi-wa-nyumba saba waliohudumu mbele za mfalme Ahasuero, wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso.
Bali Vashti, malkia, alikataa kuja kwa amri ya mfalme kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba; kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, na hasira yake ikawaka ndani yake.
Basi mfalme akawaambia wenye hekima, walio na elimu ya nyakati; Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Basi Memukani akajibu mbele ya mfalme na maakida, Huyu Vashti, malkia, hakumkosa mfalme tu peke yake, ila na maakida wote, na watu wote pia walioko katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero.
Kwa maana tendo hilo la malkia litajulikana na wanawake wote, hata waume zao watadharauliwa machoni pao, itakaponenwa ya kuwa mfalme Ahasuero aliamuru Vashti, malkia, aletwe mbele yake, bali hakuja.
Hata na leo hivi mabibi wastahiki wa Uajemi na Umedi waliokwisha kuzisikia habari za tendo lake malkia watawaambia vivi hivi maakida wote wa mfalme. Hivyo kutatokea dharau nyingi na ghadhabu tele.
Basi mfalme akiona vema, na itoke kwake amri ya kifalme, nayo iandikwe katika sheria za Waajemi na Wamedi isitanguke, ya kwamba Vashti asifike tena mbele ya mfalme Ahasuero; na umalkia wake mfalme ampe mwingine aliye mwema kuliko yeye.
Basi mbiu ya mfalme atakayoipiga itakapotangazwa katika ufalme wake wote, nao ni mkubwa, wake wote watawaheshimu waume zao, wakubwa kwa wadogo.
Esta 2: 1- 4; 16 - 17
Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri;
naye mfalme aweke wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wakusanye pamoja mabikira vijana wazuri wote waende Shushani ngomeni, kwenye nyumba ya wanawake mikononi mwa Hegai, msimamizi-wa-nyumba wa mfalme, mwenye kuwalinda wanawake; tena wapewe vifaa vya utakaso.
Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.
Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
At least ulijaribu hata kuandika, Kuna mazingira yanafikia mtu anaona bora kuendesha tu maisha yake na kuacha mambo yaende, familia ile sasa ishabaki yatima na watoto wanateseka na wala hakuna la maanaWale askari walihukumiwa zuga mambo yakaishia hapo.
PSimshangai Pasco wa JF tu; hapana, nawashangaa waandishi wote wa habari popote pale mlipo nchini!
Huyo hapo juu ni aliyekuwa mwandishi wa habari na mwakilishi wa kituo cha televisheni cha Channel Ten, mkoani Iringa, marehemu Daudi Mwangosi. Mwangosi, ambaye alikuwa pia Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC), aliuawa kwa kupigwa na bomu na kusambaratisha mwili...www.jamiiforums.com
It's very true, hiyo ndio kazi yetu na hayo ndio maisha yetu.Inaumiza, wanahabari wa Bongo wanaishi maisha magumu sana.
Mkuu mama D , ni katika kuelimishana tuu, what all this story for?!.
P
Niliwahi kushauri humu kuhusu sisi waandishiAt least ulijaribu hata kuandika, Kuna mazingira yanafikia mtu anaona bora kuendesha tu maisha yake na kuacha mambo yaende, familia ile sasa ishabaki yatima na watoto wanateseka na wala hakuna la maana
Kiukweli wewe mama D , unafaa sana uwe kungwi wa wake zetu, baada ya wanawake wengi kuujua udhaifu wetu sisi wanaume, basi ndio wanautumia kama fimbo kutuadhibu!. Mara tunyimwe eti "siko kwenye mood kabisa!", mkiwa wawili watatu ni hakuna USUMBUFU.Ili ndoa ya mmoja itoshe lazima hao wamoja watosheane kwenye nafasi zao kwa kubebeana wanayopungukiwa
Toka kwenye post juu, ili Mwanamke kudumu kwenye nafasi yake ya ndoa utii kwa mume kadri ya taratibu za kiimani na desturi ni lazima
Okay..Kwanza kabisa mwanaume ndio mwenye maamuzi na uchaguzi wa kuoa na pia Ndoa sio shurti.
Yaani kama huhitaji mahitaji ya ndoa hulazimishwi kuoa
1WAKORINTO 7: 8-9
8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Pili, habari ya ndoa ya mke mmoja au kuishi na mke mmoja maisha yako yote ni kitu kingine kabisaa
Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini;
Esta 1: 9-20
Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.
Hata siku ya saba, mfalme alipofurahiwa moyo wake kwa divai, aliwaamuru wale wasimamizi-wa-nyumba saba waliohudumu mbele za mfalme Ahasuero, wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso.
Bali Vashti, malkia, alikataa kuja kwa amri ya mfalme kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba; kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, na hasira yake ikawaka ndani yake.
Basi mfalme akawaambia wenye hekima, walio na elimu ya nyakati; Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Basi Memukani akajibu mbele ya mfalme na maakida, Huyu Vashti, malkia, hakumkosa mfalme tu peke yake, ila na maakida wote, na watu wote pia walioko katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero.
Kwa maana tendo hilo la malkia litajulikana na wanawake wote, hata waume zao watadharauliwa machoni pao, itakaponenwa ya kuwa mfalme Ahasuero aliamuru Vashti, malkia, aletwe mbele yake, bali hakuja.
Hata na leo hivi mabibi wastahiki wa Uajemi na Umedi waliokwisha kuzisikia habari za tendo lake malkia watawaambia vivi hivi maakida wote wa mfalme. Hivyo kutatokea dharau nyingi na ghadhabu tele.
Basi mfalme akiona vema, na itoke kwake amri ya kifalme, nayo iandikwe katika sheria za Waajemi na Wamedi isitanguke, ya kwamba Vashti asifike tena mbele ya mfalme Ahasuero; na umalkia wake mfalme ampe mwingine aliye mwema kuliko yeye.
Basi mbiu ya mfalme atakayoipiga itakapotangazwa katika ufalme wake wote, nao ni mkubwa, wake wote watawaheshimu waume zao, wakubwa kwa wadogo.
Esta 2: 1- 4; 16 - 17
Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri;
naye mfalme aweke wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wakusanye pamoja mabikira vijana wazuri wote waende Shushani ngomeni, kwenye nyumba ya wanawake mikononi mwa Hegai, msimamizi-wa-nyumba wa mfalme, mwenye kuwalinda wanawake; tena wapewe vifaa vya utakaso.
Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.
Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
Ila nyie ma-freelance journalists wenye mamlaka wakiwapenda ni rahisi sana kulamba vyeo (Teuzi) kwenye maeneo nyeti au hata kuwa DC, RC,DAS na mengineyo.Mkuu Fumadilu Kalimanzila , thanks for this, usemacho ni kweli, we have to do something.
P
Nasikitika na nashangaa kuwa muda Wote hukujua kuwa hakuna Watu Hypocrites na Hopeless duniani kote kama Waandishi wa Habari wa Tanzania.Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.
Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.
Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.
Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa wanakula Idd na Pasaka na familia zao.
Waandishi wenzake wamemtenga, Nyanda anatumia akaunti yake ya Instagram kuzidi kumchafua akidhani anamsaidia.
Anamwandika as if anamwombea msamaha kumbe indirect anamzalilisha nakutumika na system kuonyesha kwamba serikali inaweza kukufanya chochote.
Taarifa hizi nimezifikisha Kwa mdau wa masuala ya Habari nchi jirani, anafuatilia CV yake aone kama anaweza kumpa kazi ya reporter kutokea Tanzania. Wakiona CV inafaa watamchukua.
Nimeshauriana pia na wenzetu waandishi wa Habari ana wamiliki binafsi , wanaangalia namna ya kumsaudia Mzee wetu huyu aweze kuendeleza taaluma yake.
Lakini hii inatufundisha kwamba hakuna solidarity miongoni mwawana Habari. Kila Siku wanateseka lakini ukifuatilia hotuba Yao Leo is as if Kila kitu kipo sawa.
Wakati huo huo wapo mawakili wanafuatilia namna ya kuchukua hatua endapo ITV walikiuka taratibu za ajira
Tumsaidie mwenzetu; tuungane. Imeandikwa na F.T.F,
Usiwalaumu kwa hili, hata wao wana familia na wanahitaji kuishi vizuri, silaha yao ni kalamu tu hawana uwezo wowote wa kuwagomea /kuwazuia wenye mamlaka wakiamua jambo lao.Leo hii Vyombo vyote vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari nchini Tanzania wamekuwa ni Government Mouth Piece and PR Machine yao badala ya kuwa The Voice of the Voiceless na kusimama katika Kuibua Masuala, Kukosoa na kuonyesha the way forward ya Matatizo Mtambuka ya nchi yetu hii ya Tanzania.