Mtangazaji wa ITV Mabere Makubi usiangaike na ajira ITV, wiki ijayo utapata ajira nje nakamilisha mazungumzo

Wazungu na Waarabu, walipokuja Africa na kutuletea dini zao, walitukuta na dini zetu za asili, mila na desturi, wakaziponda kuwa ni za kishenzi na kutuletea Ukristo na Uislamu.

Walitukuta na mila za wake wengi, Uislamu unafundisha mwisho wanne, Ukristo mwisho mke mmoja. Kumbe huu ni uongo!.

Kwenye zile dini zetu za asili, mila na desturi, sio kila kitu ni cha kishenzi, kuna mazuri mengi tuliyaacha, miongoni mwa mazuri hayo ni baadhi ya tiba asili, jando na unyago na mila za wake wengi.

Baada ya ndoa ya Kikristu kanisani, niliposema Bible kwa makini, nikagundua kumbe ndoa ya mke mmoja sio mpango wa Mungu!, hakuna popote ndani ya Bible Mungu kazuia ndoa za wake wengi, ni scheme tuu za wazungu, wenzetu hawana nguvu za mitala hivyo kulazimisha mke mmoja.

Hivyo akina sisi timeamua kumfuta Mungu wa kwenye Bible na sio ule uongo wa wazungu!.
P

Aisee!
Mtumishi mama D, maoni yako juu ya hili tafadhali 😊

Kwanza kabisa mwanaume ndio mwenye maamuzi na uchaguzi wa kuoa na pia Ndoa sio shurti.
Yaani kama huhitaji mahitaji ya ndoa hulazimishwi kuoa
1WAKORINTO 7: 8-9
8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Pili, habari ya ndoa ya mke mmoja au kuishi na mke mmoja maisha yako yote ni kitu kingine kabisaa

Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini;

Esta 1: 9-20
Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.
Hata siku ya saba, mfalme alipofurahiwa moyo wake kwa divai, aliwaamuru wale wasimamizi-wa-nyumba saba waliohudumu mbele za mfalme Ahasuero, wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso.
Bali Vashti, malkia, alikataa kuja kwa amri ya mfalme kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba; kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, na hasira yake ikawaka ndani yake.
Basi mfalme akawaambia wenye hekima, walio na elimu ya nyakati; Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Basi Memukani akajibu mbele ya mfalme na maakida, Huyu Vashti, malkia, hakumkosa mfalme tu peke yake, ila na maakida wote, na watu wote pia walioko katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero.
Kwa maana tendo hilo la malkia litajulikana na wanawake wote, hata waume zao watadharauliwa machoni pao, itakaponenwa ya kuwa mfalme Ahasuero aliamuru Vashti, malkia, aletwe mbele yake, bali hakuja.
Hata na leo hivi mabibi wastahiki wa Uajemi na Umedi waliokwisha kuzisikia habari za tendo lake malkia watawaambia vivi hivi maakida wote wa mfalme. Hivyo kutatokea dharau nyingi na ghadhabu tele.
Basi mfalme akiona vema, na itoke kwake amri ya kifalme, nayo iandikwe katika sheria za Waajemi na Wamedi isitanguke, ya kwamba Vashti asifike tena mbele ya mfalme Ahasuero; na umalkia wake mfalme ampe mwingine aliye mwema kuliko yeye.
Basi mbiu ya mfalme atakayoipiga itakapotangazwa katika ufalme wake wote, nao ni mkubwa, wake wote watawaheshimu waume zao, wakubwa kwa wadogo.

Esta 2: 1- 4; 16 - 17
Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri;
naye mfalme aweke wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wakusanye pamoja mabikira vijana wazuri wote waende Shushani ngomeni, kwenye nyumba ya wanawake mikononi mwa Hegai, msimamizi-wa-nyumba wa mfalme, mwenye kuwalinda wanawake; tena wapewe vifaa vya utakaso.
Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.

Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
 
Ukianzisha kanisa lazima upige ela za sadaka.

Christina Shusho naye ni mchungaji sasa hivi.😄😄
 
Pascal Mayalla and other like minded Tanzania Journalists you have something very important to do in your industry! CAPACITY BUILDING & MENTORSHIP!

Tanzania has got very poor and worthless media industry particularly on Journalists!

I sometimes lough at myself after having listen from Prof.Mutahi Ngunyi and his "kids" at their Fort Hall School of Good Governance or presenters from Citizen TV, K24 ,NTV etc and compare to Journalists here at Home!

It will take us several decades to reach where our fellow Kenyans are today!

These poor Journalists we have here in Tanzania are the ones who entertain these short sighted politicians in our political arena!

Pascal Mayalla, Deodatus Balile,Manyerere Jackton and other serious Journalists you have to do something if you want this industry to mean something in this Country!!
You are dreaming my brother,,wake up... Never expect any abrupt changes over this industry..The named journalists have nothing else to do rather than to be watchdogs...

Tanzania needs constitutional reforms..over
 
Dr Slaa aliahidi kuwasomesha watoto wa Mwangosi mpaka chuo kikuu, tunaomba ulifuatilie hili kwa familia ya Mwangosi hii ahadi inakelezwa?
Duh...!.
Kuna vitu na ahadi huwa vinasemwa msibani kutokana na watu kuwa so emotional, lakini baada ya msiba, the story ends up there pale pale makaburini!. Kama ni kweli aliahidi yeye kama yeye au yeye kama Chadema, ahadi ni deni, lazima itekelezwe!.
P
 
Ukianzisha kanisa lazima upige ela za sadaka.

Christina Shusho naye ni mchungaji sasa hivi.😄😄

Hahahaaa huo mpango sina kabisaaaa na kwa misingi ya dhehebu langu mimi ni mwalimu wa mafundisho tuu😅😅😅
 
Kwanza kabisa mwanaume ndio mwenye maamuzi na uchaguzi wa kuoa na pia Ndoa sio shurti.
Yaani kama huhitaji mahitaji ya ndoa hulazimishwi kuoa
1WAKORINTO 7: 8-9
8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Pili, habari ya ndoa ya mke mmoja au kuishi na mke mmoja maisha yako yote ni kitu kingine kabisaa

Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini;

Esta 1: 9-20
Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.
Hata siku ya saba, mfalme alipofurahiwa moyo wake kwa divai, aliwaamuru wale wasimamizi-wa-nyumba saba waliohudumu mbele za mfalme Ahasuero, wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso.
Bali Vashti, malkia, alikataa kuja kwa amri ya mfalme kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba; kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, na hasira yake ikawaka ndani yake.
Basi mfalme akawaambia wenye hekima, walio na elimu ya nyakati; Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Basi Memukani akajibu mbele ya mfalme na maakida, Huyu Vashti, malkia, hakumkosa mfalme tu peke yake, ila na maakida wote, na watu wote pia walioko katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero.
Kwa maana tendo hilo la malkia litajulikana na wanawake wote, hata waume zao watadharauliwa machoni pao, itakaponenwa ya kuwa mfalme Ahasuero aliamuru Vashti, malkia, aletwe mbele yake, bali hakuja.
Hata na leo hivi mabibi wastahiki wa Uajemi na Umedi waliokwisha kuzisikia habari za tendo lake malkia watawaambia vivi hivi maakida wote wa mfalme. Hivyo kutatokea dharau nyingi na ghadhabu tele.
Basi mfalme akiona vema, na itoke kwake amri ya kifalme, nayo iandikwe katika sheria za Waajemi na Wamedi isitanguke, ya kwamba Vashti asifike tena mbele ya mfalme Ahasuero; na umalkia wake mfalme ampe mwingine aliye mwema kuliko yeye.
Basi mbiu ya mfalme atakayoipiga itakapotangazwa katika ufalme wake wote, nao ni mkubwa, wake wote watawaheshimu waume zao, wakubwa kwa wadogo.

Esta 2: 1- 4; 16 - 17
Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri;
naye mfalme aweke wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wakusanye pamoja mabikira vijana wazuri wote waende Shushani ngomeni, kwenye nyumba ya wanawake mikononi mwa Hegai, msimamizi-wa-nyumba wa mfalme, mwenye kuwalinda wanawake; tena wapewe vifaa vya utakaso.
Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.

Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
Umeandika vitu ht mwenyewe hujui sisiemu hakika ina watu wapotevu sana
 
Duh...!.
Kuna vitu na ahadi huwa vinasemwa msibani kutokana na watu kuwa so emotional, lakini baada ya msiba, the story ends up there pale pale makaburini!. Kama ni kweli aliahidi yeye kama yeye au yeye kama Chadema, ahadi ni deni, lazima itekelezwe!.
P
Kwahiyo Kaka P unataka kutuambia hata ile ahadi ya Ndalichako kumsomesha mdogo wake Akwilina Akwilin Huenda nayo ikawa Kama ya Bwana Mihogo???
 
It's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.
Hili nililijua baada ya kifo cha Daudi Mwangosi wa Channel Ten.

P
Mimi nilijua baada ya kifo cha Rehema Mwakangale, tukaambiwa amekuwa mfanyakazi wa ITV kwa mwaka 1!!! Kumbe muda wote kabla alikuwa deiwaka
 
Esta 1: 9-20
Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.
Hata siku ya saba, mfalme alipofurahiwa moyo wake kwa divai, aliwaamuru wale wasimamizi-wa-nyumba saba waliohudumu mbele za mfalme Ahasuero, wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso.
Bali Vashti, malkia, alikataa kuja kwa amri ya mfalme kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba; kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, na hasira yake ikawaka ndani yake.
Basi mfalme akawaambia wenye hekima, walio na elimu ya nyakati; Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Basi Memukani akajibu mbele ya mfalme na maakida, Huyu Vashti, malkia, hakumkosa mfalme tu peke yake, ila na maakida wote, na watu wote pia walioko katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero.
Kwa maana tendo hilo la malkia litajulikana na wanawake wote, hata waume zao watadharauliwa machoni pao, itakaponenwa ya kuwa mfalme Ahasuero aliamuru Vashti, malkia, aletwe mbele yake, bali hakuja.
Hata na leo hivi mabibi wastahiki wa Uajemi na Umedi waliokwisha kuzisikia habari za tendo lake malkia watawaambia vivi hivi maakida wote wa mfalme. Hivyo kutatokea dharau nyingi na ghadhabu tele.
Basi mfalme akiona vema, na itoke kwake amri ya kifalme, nayo iandikwe katika sheria za Waajemi na Wamedi isitanguke, ya kwamba Vashti asifike tena mbele ya mfalme Ahasuero; na umalkia wake mfalme ampe mwingine aliye mwema kuliko yeye.
Basi mbiu ya mfalme atakayoipiga itakapotangazwa katika ufalme wake wote, nao ni mkubwa, wake wote watawaheshimu waume zao, wakubwa kwa wadogo.

Esta 2: 1- 4; 16 - 17
Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri;
naye mfalme aweke wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wakusanye pamoja mabikira vijana wazuri wote waende Shushani ngomeni, kwenye nyumba ya wanawake mikononi mwa Hegai, msimamizi-wa-nyumba wa mfalme, mwenye kuwalinda wanawake; tena wapewe vifaa vya utakaso.
Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.

Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
Mkuu mama D , ni katika kuelimishana tuu, what all this story for?!.
P
 
Wale askari walihukumiwa zuga mambo yakaishia hapo.
P
At least ulijaribu hata kuandika, Kuna mazingira yanafikia mtu anaona bora kuendesha tu maisha yake na kuacha mambo yaende, familia ile sasa ishabaki yatima na watoto wanateseka na wala hakuna la maana
 
Niliwahi kushauri humu kuhusu sisi waandishi
Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama... nilishauri
Wanabodi,

Humu jukwaani tuko watu wa fani mbalimbali na miongoni mwao ni sisi watu wa fani ya habari.
Wandugu tuombeni sisi watu wa media tumalize salama vipindi vyetu na tuwe na hatma njema za maisha yetu na ikitokea yakakatishwa ghafla, kwa nguvu nyingine yoyote ambayo sio mipango ya Mungu, japo Mungu ataingilia kati kupitia kitu kinachoitwa karma, basi wale ambao ni rafiki zetu wa kweli wa kufa na kuzikana, tusiishie tuu pale kwenye mashada na risala za wasifu, bali angalau fuatilieni what real happened, japo karma always takes care of this, ila pia fuatilieni na majaaliwa ya familia zetu!.

RIP Wanahabari wote waliotangulia mbele ya haki na Mungu uwanusuru wale waliopotea bila sisi kujua hatma zao, na naamini kabisa bila shaka yoyote kuwa karma Itawashughulikia wahusika wa matukio hayo, huku sisi ambao bado tuko kwenye fani kiugumu ugumu, and we are still surviving, Mungu atajaalie moyo wa uvumilivu, ustahimilivu, na ufuatiliaji, tuwatembelee kujua majaaliwa ya familia zao.

Paskali
 
Ili ndoa ya mmoja itoshe lazima hao wamoja watosheane kwenye nafasi zao kwa kubebeana wanayopungukiwa

Toka kwenye post juu, ili Mwanamke kudumu kwenye nafasi yake ya ndoa utii kwa mume kadri ya taratibu za kiimani na desturi ni lazima
Kiukweli wewe mama D , unafaa sana uwe kungwi wa wake zetu, baada ya wanawake wengi kuujua udhaifu wetu sisi wanaume, basi ndio wanautumia kama fimbo kutuadhibu!. Mara tunyimwe eti "siko kwenye mood kabisa!", mkiwa wawili watatu ni hakuna USUMBUFU.
P
 
Kwanza kabisa mwanaume ndio mwenye maamuzi na uchaguzi wa kuoa na pia Ndoa sio shurti.
Yaani kama huhitaji mahitaji ya ndoa hulazimishwi kuoa
1WAKORINTO 7: 8-9
8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Pili, habari ya ndoa ya mke mmoja au kuishi na mke mmoja maisha yako yote ni kitu kingine kabisaa

Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini;

Esta 1: 9-20
Tena Vashti, malkia, naye akawafanyia karamu wanawake ndani ya nyumba ya kifalme ya mfalme Ahasuero.
Hata siku ya saba, mfalme alipofurahiwa moyo wake kwa divai, aliwaamuru wale wasimamizi-wa-nyumba saba waliohudumu mbele za mfalme Ahasuero, wamlete Vashti, malkia, mbele ya mfalme, amevaa taji ya kifalme; ili kuwaonyesha watu na maakida uzuri wake, maana alikuwa mzuri wa uso.
Bali Vashti, malkia, alikataa kuja kwa amri ya mfalme kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba; kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, na hasira yake ikawaka ndani yake.
Basi mfalme akawaambia wenye hekima, walio na elimu ya nyakati; Tumfanyieje Vashti, malkia, kwa sheria, kwa sababu hakufanya kama vile alivyoamriwa na mfalme Ahasuero kwa mkono wa wasimamizi-wa-nyumba?
Basi Memukani akajibu mbele ya mfalme na maakida, Huyu Vashti, malkia, hakumkosa mfalme tu peke yake, ila na maakida wote, na watu wote pia walioko katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero.
Kwa maana tendo hilo la malkia litajulikana na wanawake wote, hata waume zao watadharauliwa machoni pao, itakaponenwa ya kuwa mfalme Ahasuero aliamuru Vashti, malkia, aletwe mbele yake, bali hakuja.
Hata na leo hivi mabibi wastahiki wa Uajemi na Umedi waliokwisha kuzisikia habari za tendo lake malkia watawaambia vivi hivi maakida wote wa mfalme. Hivyo kutatokea dharau nyingi na ghadhabu tele.
Basi mfalme akiona vema, na itoke kwake amri ya kifalme, nayo iandikwe katika sheria za Waajemi na Wamedi isitanguke, ya kwamba Vashti asifike tena mbele ya mfalme Ahasuero; na umalkia wake mfalme ampe mwingine aliye mwema kuliko yeye.
Basi mbiu ya mfalme atakayoipiga itakapotangazwa katika ufalme wake wote, nao ni mkubwa, wake wote watawaheshimu waume zao, wakubwa kwa wadogo.

Esta 2: 1- 4; 16 - 17
Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.
Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri;
naye mfalme aweke wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wakusanye pamoja mabikira vijana wazuri wote waende Shushani ngomeni, kwenye nyumba ya wanawake mikononi mwa Hegai, msimamizi-wa-nyumba wa mfalme, mwenye kuwalinda wanawake; tena wapewe vifaa vya utakaso.
Naye yule msichana atakayempendeza mfalme na awe malkia badala ya Vashti. Neno hilo likampendeza mfalme, naye akafanya hivyo.

Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
Okay..
Kwa hiyo mume mkristo kumiliki zaidi ya mke mmoja ni sahihi?
 
Mkuu Fumadilu Kalimanzila , thanks for this, usemacho ni kweli, we have to do something.
P
Ila nyie ma-freelance journalists wenye mamlaka wakiwapenda ni rahisi sana kulamba vyeo (Teuzi) kwenye maeneo nyeti au hata kuwa DC, RC,DAS na mengineyo.

Na mnaweza kutumia ushawishi wenu kujikita kwenye siasa mkatoka kimaisha (japo lazima mtembeze mlungula siku hizi ).
 
Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.

Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.

Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.

Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa wanakula Idd na Pasaka na familia zao.

Waandishi wenzake wamemtenga, Nyanda anatumia akaunti yake ya Instagram kuzidi kumchafua akidhani anamsaidia.

Anamwandika as if anamwombea msamaha kumbe indirect anamzalilisha nakutumika na system kuonyesha kwamba serikali inaweza kukufanya chochote.

Taarifa hizi nimezifikisha Kwa mdau wa masuala ya Habari nchi jirani, anafuatilia CV yake aone kama anaweza kumpa kazi ya reporter kutokea Tanzania. Wakiona CV inafaa watamchukua.

Nimeshauriana pia na wenzetu waandishi wa Habari ana wamiliki binafsi , wanaangalia namna ya kumsaudia Mzee wetu huyu aweze kuendeleza taaluma yake.

Lakini hii inatufundisha kwamba hakuna solidarity miongoni mwawana Habari. Kila Siku wanateseka lakini ukifuatilia hotuba Yao Leo is as if Kila kitu kipo sawa.

Wakati huo huo wapo mawakili wanafuatilia namna ya kuchukua hatua endapo ITV walikiuka taratibu za ajira

Tumsaidie mwenzetu; tuungane. Imeandikwa na F.T.F,
Nasikitika na nashangaa kuwa muda Wote hukujua kuwa hakuna Watu Hypocrites na Hopeless duniani kote kama Waandishi wa Habari wa Tanzania.

Wewe umeibuka leo Kuwasema kwakuwa tu kuna Tukio limemtokea huyu Makubi ila ulijiiuliza ni kwanini kwa lile Tukio la Mwenzao wa MWANANCHI Marehemu Azory Gwanda aliyepotelea mazima MKIRU ( Mkuranga, Kibiti na Rufiji ) walinyamaza na kuwaachia tu Waajiri wake MCL ndiyo wampiganie katika Kumtafuta?

Ukitaka tu kujuua Kiini cha tatizo la Waandishi wa Habari wa Tanzania anza Kuliangalia Jukwaa lao la Wahariri ( TEF ) kisha waangalie Kiumakini Watendaji wake Wakuu akina Balile na Wenzake utanielewa nikisemacho hapa.

Kitendo tu cha Misingi ya Uandishi wa Habari kuanza Kuharibiwa na Kuingiliwa na Watawala ( hasa Wanasiasa ) na Watu wa Mfumo ( System ) ndiyo Safari yao ya Kifo Kitakatifu cha Kitaaluma ilianzia hapo.

Leo hii Vyombo vyote vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari nchini Tanzania wamekuwa ni Government Mouth Piece and PR Machine yao badala ya kuwa The Voice of the Voiceless na kusimama katika Kuibua Masuala, Kukosoa na kuonyesha the way forward ya Matatizo Mtambuka ya nchi yetu hii ya Tanzania.

Nina mengi ya Kukuambia kuhusiana na hili na hii Taaluma nzima ya Habari na Mawasiliano ila nikuambie tu usichokijua ni kwamba baada ya Serikali kuonyesha kuwa inawateua Waandishi wa Habari katika Nafasi za Kisiasa na Kiutendaji hivi sasa ukiwa huko News Room katika 99% ya Media Outlets kinachofanyika ni Kusifu na Kunipotezea kwa Watawala ili Wasikike na Wateuliwe na wapo ambao mpaka Wanaroga na Kulalwa hovyo ili Wateulowe au wapigiwe Pande wapate Uteuzi badala yake Uteuzi hawaupati ila wanachokipata ni Kuambukizwa HIV na Wao Kuwaambukiza Wenzao mbalimbali katika Vyombo vya Habari tofauti tofauti.

Tumechelewa na hakuna Media nchini.
 
Leo hii Vyombo vyote vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari nchini Tanzania wamekuwa ni Government Mouth Piece and PR Machine yao badala ya kuwa The Voice of the Voiceless na kusimama katika Kuibua Masuala, Kukosoa na kuonyesha the way forward ya Matatizo Mtambuka ya nchi yetu hii ya Tanzania.
Usiwalaumu kwa hili, hata wao wana familia na wanahitaji kuishi vizuri, silaha yao ni kalamu tu hawana uwezo wowote wa kuwagomea /kuwazuia wenye mamlaka wakiamua jambo lao.
 
Back
Top Bottom