Mtangazaji wa ITV Ufoo Saro yupo wapi?

Mtangazaji wa ITV Ufoo Saro yupo wapi?

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
888
Reaction score
821
Wadau nisaidieni kujua huyu mwanadada aliko. Maana sauti yake nimeimiss sana. "Nikiripoti kutoka jijini Dar es Salaam ni mimi mtangazaji wako, Ufoo Saro wa ITV."
 
Wadau nisaidieni kujua huyu mwanadada aliko. Maana sauti yake nimeimiss sana.
Nikiripoti kutoka jijini dar es salaam ni mimi mtangazaji wako Ufoo Saro wa ITV.
Huyu dada Tangia amiminiwe "SHABA" sijamsikia tena.
 
Wakati wa kampeni alikuwa anaripoti mafuriko ya Lowassa mwenzake Emmanuel Buhohela alikuwa anaripoti mafuriko ya "Yesu". Baada ya uchaguzi Buhohela akachukuliwa ikulu Spensa sijui aliishia wapi
Inawezekana watu walimtonya apotee otherwise watu wasiojulikana wangempoteza kama Ben Saanane.
 
Na Spensa Lameck yuko wapi?

Ha ha ha mzee! Big up! Hili jina nalo nimoja ya majina muhim sana!

Spensa lameck alilipoti uchaguzi mkuu 2015 alikuwa akikimbizana na kila mtu
Bila kumsahau yule mzee sana nae cjui yupo wapi.

Cjui watakuja tena uchaguzi huu.
 
Wakati wa kampeni alikuwa anaripoti mafuriko ya Lowassa mwenzake Emmanuel Buhohela alikuwa anaripoti mafuriko ya "Yesu". Baada ya uchaguzi Buhohela akachukuliwa ikulu Spensa sijui aliishia wapi

Ha ha ha ha !!! Ile nyie watu mnaumiza watu mbavu! Nimecheka hii comment yko kila mtu ananishangaa.
Eti mafuriko ya Yesu.
 
Back
Top Bottom