Mtangazaji wa ITV Ufoo Saro yupo wapi?

Mtangazaji wa ITV Ufoo Saro yupo wapi?

Pia Tangu Sam Mahela kahamia TBC kapotea kabisaaa

Sam mahela aliendaga china kusoma na aliludi sasa cjui labda nae covid inamsumbua au vipi.
Maana alikuwa miongoni wa waliojiongeza kutoka china kabla ya lockdown.
Cjui yupo wapi saivi au karudi china au anasoma kwa internet.
 
Sam mahela aliendaga china kusoma na aliludi sasa cjui labda nae covid inamsumbua au vipi.
Maana alikuwa miongoni wa waliojiongeza kutoka china kabla ya lockdown.
Cjui yupo wapi saivi au karudi china au anasoma kwa internet.
Yupo mwanza siku hizi anahoji wamachinga kuhusu namna wanavyoneemeshwa na serikali ya awamu ya 5 na kurusha live huko TBC.
 
Ha ha ha mzee! Big up! Hili jina nalo nimoja ya majina muhim sana!

Spensa lameck alilipoti uchaguzi mkuu 2015 alikuwa akikimbizana na kila mtu
Bila kumsahau yule mzee sana nae cjui yupo wapi.

Cjui watakuja tena uchaguzi huu.
Mzee Rainfred Masako atakuwa alistaafu
 
Wenye visimbusi vya Dstv, na tunalazimika kutazama TBC, tunamwona mara nyingi. Ila kwangu mimi pamoja na kujaribu kujitutumua kufanya mbwembwe kama alivyokuwa anafanya ITV, huku mbwembwe zake wala hazinogi....
Pia Tangu Sam Mahela kahamia TBC kapotea kabisaaa
 
Wakati wa kampeni alikuwa anaripoti mafuriko ya Lowassa mwenzake Emmanuel Buhohela alikuwa anaripoti mafuriko ya "Yesu". Baada ya uchaguzi Buhohela akachukuliwa ikulu Spensa sijui aliishia wapi
Labda baada ya Buhohela kuingia katika ufalme wa "Yeso" bin Mariam kijana wa seremala, Spensa alipelekewa Kapernaum kusikojulikana.
 
Wakuu hilo nalo Muhimu sana kujua watu hawa, Mtu kama Spencer Lameck , mtu kama Ufo Saro.. na mwingine namuongezea hapo, FREDWAA, Ambaye alikuwa Free Africa, Baadaye Clouds. Sasa simsikii kabisa, msaada wakuu
 
Ilikuwaje vile?
Ukweli kuhusu kisa Cha huyu dada kinasikitisha sana mzee, Baada ya Muda mrefu, Ni mwezi juzi ndio nilipata a to z juu ya lile tukio Toka kwa watu wa.....siwezi kuelezea kisa chote.

Kiufupi Ni Mambo ya usaliti na kwanini mama aliuwawa! Ni sababu alishiriki kwa Namna flani kumkingia kifua binti yake wakati anajihusisha na hiyo dhambi

. Na Ile laptop ilikutwa mezani bado Ina play kale kamchezo ambako jamaa alitega camera room.

Niishie hapo.
 
Back
Top Bottom