Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Wadau nisaidieni kujua huyu mwanadada aliko. Maana sauti yake nimeimiss sana.
Nikiripoti kutoka jijini dar es salaam ni mimi mtangazaji wako Ufoo Saro wa ITV.
Pia Tangu Sam Mahela kahamia TBC kapotea kabisaaa
Yupo mwanza siku hizi anahoji wamachinga kuhusu namna wanavyoneemeshwa na serikali ya awamu ya 5 na kurusha live huko TBC.Sam mahela aliendaga china kusoma na aliludi sasa cjui labda nae covid inamsumbua au vipi.
Maana alikuwa miongoni wa waliojiongeza kutoka china kabla ya lockdown.
Cjui yupo wapi saivi au karudi china au anasoma kwa internet.
AiseeYupo mwanza siku hizi anahoji wamachinga kuhusu namna wanavyoneemeshwa na serikali ya awamu ya 5 na kurusha live huko TBC.
Mamake aliondoshwaAlikoswakoswa na mumewe akapona, ana bahati sana.
Mzee Rainfred Masako atakuwa alistaafuHa ha ha mzee! Big up! Hili jina nalo nimoja ya majina muhim sana!
Spensa lameck alilipoti uchaguzi mkuu 2015 alikuwa akikimbizana na kila mtu
Bila kumsahau yule mzee sana nae cjui yupo wapi.
Cjui watakuja tena uchaguzi huu.
Sawa Mkuu kama Yupo ACT.Mbona yupo kwenye taasisi binafsi inayoitwa Agricultural Council of Tanzania (ACT).
Pia Tangu Sam Mahela kahamia TBC kapotea kabisaaa
Labda baada ya Buhohela kuingia katika ufalme wa "Yeso" bin Mariam kijana wa seremala, Spensa alipelekewa Kapernaum kusikojulikana.Wakati wa kampeni alikuwa anaripoti mafuriko ya Lowassa mwenzake Emmanuel Buhohela alikuwa anaripoti mafuriko ya "Yesu". Baada ya uchaguzi Buhohela akachukuliwa ikulu Spensa sijui aliishia wapi
Kwa sasa yuko TBC kwenye ukweli wa kusadikika.Labda baada ya Buhohela kuingia katika ufalme wa "Yeso" bin Mariam kijana wa seremala, Spensa alipelekewa Kapernaum kusikojulikana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sasa yuko TBC kwenye ukweli wa kusadikika.
Ilikuwaje vile?Jamaa aligharamia halafu aliporudi toka ughaibuni kakuta mzigo umeuzwa na mama mkwe.
Tupia picha yake mwambaWadau nisaidieni kujua huyu mwanadada aliko. Maana sauti yake nimeimiss sana. "Nikiripoti kutoka jijini dar es salaam ni mimi mtangazaji wako Ufoo Saro wa ITV."
Ukweli kuhusu kisa Cha huyu dada kinasikitisha sana mzee, Baada ya Muda mrefu, Ni mwezi juzi ndio nilipata a to z juu ya lile tukio Toka kwa watu wa.....siwezi kuelezea kisa chote.Ilikuwaje vile?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sasa yuko TBC kwenye ukweli wa kusadikika.
Ni Ufuo SaroHata Mimi nilitaka kujua Yuko wapi
Ufoo saro