Mtangazaji wa kike Azam Tv habari za michezo ananikosha sana

Acha tamaa na wake za watu
 
Sisi madada bhana kasifiwa Fatuma si kwa uzuri bali mtoa maada alijikita katika kumasifia kuwa na kipaji cha utangazaji husasani MICHEZO. Sisi wadada tushaanza ubuyu eti "MBAYA" kwani mleta uzi alimanisha anamtaka kibailogia?? Anyway hata km anamtaka, ubaya umeuona ww yeye mla tunda kaona ndio kivuli pa kupumzikia. "Lets be fair" na tufikiria nje ya JF mfn mme wake akiona post MBAYA effects yake nn.
 
Hapo sasa roho mbaya ni ugonjwa.

Sent from my SM-N910T using JamiiForums mobile app
 
Ana kipaji..mpeni hongera mkimuona live mi naishia kumuona kwenye kioo tu.
 
Mtoto wa kiume unakoshwa?? Haya endelea
 
Roho mbaya haina tiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo roho mbaya kiuhalisia huyu binti siyo mzuri kila idara. [emoji23] [emoji23]
 


Khaaaa, kumbe ni gaidi....mi nilifikiri ni demu wa kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…