Huwa si mpenzi sana wa kuangalia taarifa ya habari star tv mara kwa mara isipokuwa ni pale kwenye taarifa zao za kimataifa ambazo huchanganuliwa vizuri. Pia huwa napenda sana kuangalia kipindi cha Dira ya dunia ambacho hurushwa na kituo hiki.
Kwa kipindi chote nachoangalia star tv nimekuwa navutiwa sana na utangazaji wa mrembo huyu Ivona Kamuntu. Kwa kweli napenda anavyotangaza kwa weredi wa hali ya juu na kwa tabasamu bashasha.
Napenda pia sauti zake wakati akitangaza na mavazi mazuri yanayofanya apendezeshe Sonny LCD tv yangu. Vyote hivi nadhani vinachangiwa na reception nzuri aliyokuwa nayo.
Keep it up Ivona! Je wewe huvutiwa na mtangazaji gani wa kike/kiume kwa local tv?