Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huyo Ivona simpendi to be honest. Kweli uzuri uko machoni pa mtu coz huo uzuri sihuoni hapo.
Simpendi coz namwona kama Wolper ivi..ongea flani fake wenyewe mmeibatiza jina eti confidence, ana swaga flan ivi I guess kuna mtangazaji anamuadmire sa anajaribu kupaste xter..kwanza mara anakosea kosea. Anantibua...pritenda mkubwa
Kajazia Hips Pia, skrti Fupi nalong Heel Shoes! Mtamu
Si kaolewa na jamaa wa star tv pia? Dah jamaa akipita huku sjui atafeel aje
Yaa....na imeandikwa usitamani mke wa jirani yako.
Sema nilianza kuingia woga jamaa alikuwa ametupiwa Arusha ilihali wife yupo Mwanza...........ila naona wamesharekebisha baada ya kutambua kuwa MVUA ZA KWANZA NI ZA KUPANDIA.....
Kama namuona mzee Raymond.....tunasubiri big result now kaka.
nimemkumbuka Joan Itanisa, siku nyingi sijamuona kwenye tv.
Mi Magreth Cosmas wa ITV ana sauti tamuuuuuuu ya kumtoa nyoka pangoni!wadau ebu nisapotini basi au nimesema uongo?
Mkuu, hivi joan itanisa yupo wapi sasa?
Uko sawa kabisa,huyu mtangazaji anafake kuongea hayuko real na hata kuna wakati alikuwa akijaribu kuweka mapoz ya kukaa kama kikeke! Akiacha kufeki ni mtangazaji mzuri,binafsi nampenda sana Magreth Cosmas wa ITV