Mtangazaji wa kike nimpendaye; Ivona Kamuntu wa star tv

Trance M

Senior Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
183
Reaction score
37
Huwa si mpenzi sana wa kuangalia taarifa ya habari star tv mara kwa mara isipokuwa ni pale kwenye taarifa zao za kimataifa ambazo huchanganuliwa vizuri. Pia huwa napenda sana kuangalia kipindi cha Dira ya dunia ambacho hurushwa na kituo hiki.

Kwa kipindi chote nachoangalia star tv nimekuwa navutiwa sana na utangazaji wa mrembo huyu Ivona Kamuntu. Kwa kweli napenda anavyotangaza kwa weredi wa hali ya juu na kwa tabasamu bashasha.

Napenda pia sauti zake wakati akitangaza na mavazi mazuri yanayofanya apendezeshe Sonny LCD tv yangu. Vyote hivi nadhani vinachangiwa na reception nzuri aliyokuwa nayo.

Keep it up Ivona! Je wewe huvutiwa na mtangazaji gani wa kike/kiume kwa local tv?
 
Mi Magreth Cosmas wa ITV ana sauti tamuuuuuuu ya kumtoa nyoka pangoni!wadau ebu nisapotini basi au nimesema uongo?
 
Ivona yuko vizuri.. levo yake ni ya kutangaza BBC maana anajiamini

Ni kweli hiyo dada yupo makini sana.Anapaswa kuwepo level nyingine.
Nafikiri nao watakuwa wanmfuatilia.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Mi Magreth Cosmas wa ITV ana sauti tamuuuuuuu ya kumtoa nyoka pangoni!wadau ebu nisapotini basi au nimesema uongo?

Sijabahatika kukutana na Magreth Cosmas akitangaza. Huwa anatangaza vipindi gani?
 
Mie kuna yupo tbc, ila nimemsahau jina. Tbc yenyewe siipendi.
 
Mmhh! Labda!!

"To know the enemy is half the victory"
 
Asante kwa kunichallenge nitanunua ili nifurahie maisha. Teh

pia usisahau nunua sony badala ya sonny....... the joke is here,not the type of tv u own....mimi nina yenye kichogo sijui mnaita mgongo....
 
Sister Farida R.I.P (enzi za Afro music na akina DJ Mackay E.A radio).
Bila kumsahau Christina Mosha a.k.a Seven.
 
pia usisahau nunua sony badala ya sonny....... the joke is here,not the type of tv u own....mimi nina yenye kichogo sijui mnaita mgongo....

Mkuu TCleverly nilimaanisha sony lcd tv. Nakushauri na wewe nunua lcd/led tv ufurahie maisha si unajua tena maisha yenyewe mafupi. Badilika mkuu ili uenjoy vipindi mbalimbali kwenye luninga yako.
 
Last edited by a moderator:
Sister Farida R.I.P (enzi za Afro music na akina DJ Mackay E.A radio).
Bila kumsahau Christina Mosha a.k.a Seven.

MTAZAMO umenikumbusha mbali sana ulipomzungumzia seven. I like those days kwakweli. Nakumbuka nilikuwa nimemaliza chuo halafu ajira hazisomeki
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…