Mtangazaji wa kike nimpendaye; Ivona Kamuntu wa star tv

hakika mnaomponda huyu dada, mmetoswa kwenye intervew.Binafsi huyu dada nampenda sana japo kanitosa kwenye intervw,ila nilifika adi yapili,anajiamini sana,pia ana confidence ya ajabu.keep it up ivona.
 

Ni kweli kabisa Mkuu. Mi ananiboa zaidi anapokuwa anaongea huku kabetua midomo, kufumba macho na kuangalia juu
 
nimemkumbuka Joan Itanisa, siku nyingi sijamuona kwenye tv.
 
Kajazia Hips Pia, skrti Fupi nalong Heel Shoes! Mtamu
 
Si kaolewa na jamaa wa star tv pia? Dah jamaa akipita huku sjui atafeel aje

Yaa....na imeandikwa usitamani mke wa jirani yako.

Sema nilianza kuingia woga jamaa alikuwa ametupiwa Arusha ilihali wife yupo Mwanza...........ila naona wamesharekebisha baada ya kutambua kuwa MVUA ZA KWANZA NI ZA KUPANDIA.....

Kama namuona mzee Raymond.....tunasubiri big result now kaka.
 

Khaa aisee id yako kiboko FYATU
 
Last edited by a moderator:
Uko sawa kabisa,huyu mtangazaji anafake kuongea hayuko real na hata kuna wakati alikuwa akijaribu kuweka mapoz ya kukaa kama kikeke! Akiacha kufeki ni mtangazaji mzuri,binafsi nampenda sana Magreth Cosmas wa ITV

Huyo wa itv yuko vzr sana ila huyo wa star tv ni fake anaigaiga
sana halaf ana pozi za kishamba kama hayupo kazini.hawezi kufika popote kwa sbb akili yake yote ipo kwenye kujifikiria eti yeye ni mzuri wakati kidomo kama chuchunge
 
Hivi anatokea upande gani wa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…