Mtangazaji wa Kipindi cha The Story book wasafi TV anatukosea na kuitukana imani ya kikristo

Mtangazaji wa Kipindi cha The Story book wasafi TV anatukosea na kuitukana imani ya kikristo

Sawa manazareti ila yupo kuentertain so ukichukulia serious mpaka sisiyemu wenyewe sometimes wanatudanganya
 
Huyu dogo sijui anafanya hvi kwa bahati mbaya au anafanya makusudi ili auchafue ukristo kwa maslahi ya waliomtuma.

Bahati mbaya sana hata jina lake sijakishika vizuri, sijui imani yake.

Lakini bila kujali imai yake nitumie jukwaa hili kwa niaba ya wakristo kwamba hatupendezwi na namna ambavyo anawasimulia manabii, mitume na watumishi walioko katika biblia na kuongezea uongo ambao haupo. Mbaya zaidi anaanza kwa kusema kabisa kwamba biblia imesema hvi na vile. Uongo mtupu.

Sijui hata kama huyu dogo huwa anafanya utafiti, yani anachafua mitume na kuwapaka sifa ambazo hazikuwepo, anazungumzia historia ya madhehebu mbali mbali bila hata kufanya utafiti. Anaichafua imani yetu.

Hatupendi na kama ameamja kuichafua imani makusudi hatutamuacha salama.

Acha kabisa kuchezea imani za watu
Ni mdini, mvaa kobazi flani hivi

Jina lake lenyewe ni Habibu

Huo uchambuzi anaofanya ni moja ya mission yake kudhalilisha imani ya kikristo

Hata hapa JF yupo, ukipitia thread zake mission ni hiyo hiyo

Ndio maana Quran (msaafu) na Hadith hazichambui
 
Kwa akili hizi ndo maana mnatapeliwa na mwamposa huku mnasema ameen
 
Back
Top Bottom