Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo Msikilizaji wako pekee kiasi kwamba kila Siku lazima umsome Yeye tu? Unatuboa!
[emoji23]labda anamchapa/anamfagia mkuu huwezi jua
uyo prisca ndio shafii au ?
Anamsugua nini,viganja?Inawezekana anamsugua
Ndio Shafilabda anamchapa/anamfagia mkuu huwezi jua
uyo prisca ndio shafii au ?
Mambo VP Utopolo?? Malinzi anaendeleaje huko??Ndio Shafi
Akomeee, alikuwa na nyodo sana, na aliwabeba Sana UTOPOLO!Kwa kilichomkuta unadhani kwa sasa ana hamu hata na Mambo ya Mpira na huo Mpira wenyewe? Sasa hivi anawaza jinsi alivyofilisiwa Mazima.
Dah bongo raha sana,ushaweka ubuyu tayari....mzee wa tasnia sio? Dah hela/vyeo hivi. Chochote unapewa.Anachapwa na Waziri Mmoja hivi Mwandamizi kabisa wa Awamu hii ya Magufuli na mwenye Wizara Changamfu sana iliyo na Uzandiki pia vile vile.
Wajadi fundi au mwite binaadamu mashaka wa mahuta shimoni huyu jamaa hata huyo uliyemtaja anasubiri kwa huyu😂Huyo hutuma ujumbe mapema kabla ya wote.
Umenikumbusha zamani RTD kwenye kipindi cha mchana mwema ilikuwa ni lazima barua ya kwanza kusomwa Aloyisia Maneno iwe ni ya Mayage S Mayage wa Mauta Newala.
Kama sikosei.
Prisca anapenda ushiriki wa wasikilizaji wa mbali.
🙂
Ila watu,wivu tu[emoji23][emoji23]Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo Msikilizaji wako pekee kiasi kwamba kila Siku lazima umsome Yeye tu? Unatuboa!