Domhome JF-Expert Member Joined Jun 28, 2010 Posts 3,198 Reaction score 3,950 Aug 9, 2021 #41 bwege nazi said: Wajadi fundi au mwite binaadamu mashaka wa mahuta shimoni huyu jamaa hata huyo uliyemtaja anasubiri kwa huyu[emoji23] Click to expand... Enzi hizo za RTD kule Babati alikuwepo Zakaria Ndemfoo wa Babati salaam club, jamaa alitisha!
bwege nazi said: Wajadi fundi au mwite binaadamu mashaka wa mahuta shimoni huyu jamaa hata huyo uliyemtaja anasubiri kwa huyu[emoji23] Click to expand... Enzi hizo za RTD kule Babati alikuwepo Zakaria Ndemfoo wa Babati salaam club, jamaa alitisha!
baraka bb JF-Expert Member Joined Mar 20, 2016 Posts 2,691 Reaction score 3,884 Aug 9, 2021 #42 Fundi Hamisi fullu migebuka,, Dereva wa bajaji male platinamu Heli dereva bajaji lindi Rama ngozi Daaah hayo majina kila nikiwashaga radio clouds nikiwa naendesha gari yangu aina ya premior ( DFK 249) lazima niwasikie
Fundi Hamisi fullu migebuka,, Dereva wa bajaji male platinamu Heli dereva bajaji lindi Rama ngozi Daaah hayo majina kila nikiwashaga radio clouds nikiwa naendesha gari yangu aina ya premior ( DFK 249) lazima niwasikie