Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mtangazi wa Radio 47 ya Kenya Billy Miya katika kipindi cha Maskani47 amedeai kwamba Msanii wa bongo fleva kutoka hapa Tanzania Diamond Platnumz ametumia pesa kutoka CCM kurebrand Wasafi FM.
March 30 Wasafi fm walizindua studio zao baada ya kufanyiw marekebisho makubwa, wengine wakihoji pesa zimetoka wapi kufanya yote hayo, leo jamaa amemwaga povu
Soma Pia: Diamond Platnumz: Naogopa kuongelea mambo ya Serikali, unaweza kusema Ukweli ukapata madhara
Vipi wewe mdau unakubaliana na jamaa?