Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Huyu mtangazaji wa Kenya, anamuita rais wetu Bi Msumi!,Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya leo waimeibuka na Rais anataka kumharibu Rais Ruto
kauli ya Rais Samia wale watoto wetu ( Gen Z ) watovu wa adabu, wakija kwako chapa mikwaju, wakija kwangu nachapa mikwaju
"Inauma ila itabidi uzoee...".Huyu mtangazaji wa Kenya, anamuita rais wetu Bi Msumi!,
Kisha anasema mwanamke anapoongelea mikwaju anaeleweka, huku akionyeshea mikwaju hiyo kwa ishara ya mkono!.
Watanzania Wazalendo tusikubali udhalilishaji huu wa viongozi wetu na media za jirani!.
Niliwahi kuandika humu na kuuliza kuhusu Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
Tusikubali!.
P
Mbona Ruto anaitwa Kasongo / Zakayo/ Githinji [muuaji kwa Kikuyu] , Konde boy [ sababu ya kupungua mwili hivi karibuni]Huyu mtangazaji wa Kenya, anamuita rais wetu Bi Msumi!,
Kisha anasema mwanamke anapoongelea mikwaju anaeleweka, huku akionyeshea mikwaju hiyo kwa ishara ya mkono!.
Watanzania Wazalendo tusikubali udhalilishaji huu wa viongozi wetu na media za jirani!.
Niliwahi kuandika humu na kuuliza kuhusu Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
Tusikubali!.
P
wewe ni🐕🐕🐕🐕Koko👎👎👎👎👎🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕Huyu mtangazaji wa Kenya, anamuita rais wetu Bi Msumi!,
Kisha anasema mwanamke anapoongelea mikwaju anaeleweka, huku akionyeshea mikwaju hiyo kwa ishara ya mkono!.
Watanzania Wazalendo tusikubali udhalilishaji huu wa viongozi wetu na media za jirani!.
Niliwahi kuandika humu na kuuliza kuhusu Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
Tusikubali!.
P
Ww nawe chawa!!!!Huyu mtangazaji wa Kenya, anamuita rais wetu Bi Msumi!,
Kisha anasema mwanamke anapoongelea mikwaju anaeleweka, huku akionyeshea mikwaju hiyo kwa ishara ya mkono!.
Watanzania Wazalendo tusikubali udhalilishaji huu wa viongozi wetu na media za jirani!.
Niliwahi kuandika humu na kuuliza kuhusu Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
Tusikubali!.
P
With all due respect mkuu, hao unaowaita 'viongozi' wameamua wenyewe kujidhalilisha. Mtu yeyote mwenye clear mind hawezi kudeal na matokeo ya tatizo badala ya kiini cha matatizo.Huyu mtangazaji wa Kenya, anamuita rais wetu Bi Msumi!,
Kisha anasema mwanamke anapoongelea mikwaju anaeleweka, huku akionyeshea mikwaju hiyo kwa ishara ya mkono!.
Watanzania Wazalendo tusikubali udhalilishaji huu wa viongozi wetu na media za jirani!.
Niliwahi kuandika humu na kuuliza kuhusu Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
Tusikubali!.
P
🖕🖕🖕Huyu mtangazaji wa Kenya, anamuita rais wetu Bi Msumi!,
Kisha anasema mwanamke anapoongelea mikwaju anaeleweka, huku akionyeshea mikwaju hiyo kwa ishara ya mkono!.
Watanzania Wazalendo tusikubali udhalilishaji huu wa viongozi wetu na media za jirani!.
Niliwahi kuandika humu na kuuliza kuhusu Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
Tusikubali!.
P
RubbishHuyu mtangazaji wa Kenya, anamuita rais wetu Bi Msumi!,
Kisha anasema mwanamke anapoongelea mikwaju anaeleweka, huku akionyeshea mikwaju hiyo kwa ishara ya mkono!.
Watanzania Wazalendo tusikubali udhalilishaji huu wa viongozi wetu na media za jirani!.
Niliwahi kuandika humu na kuuliza kuhusu Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
Tusikubali!.
P
Fala we mzee,Huyu mtangazaji wa Kenya, anamuita rais wetu Bi Msumi!,
Kisha anasema mwanamke anapoongelea mikwaju anaeleweka, huku akionyeshea mikwaju hiyo kwa ishara ya mkono!.
Watanzania Wazalendo tusikubali udhalilishaji huu wa viongozi wetu na media za jirani!.
Niliwahi kuandika humu na kuuliza kuhusu Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
Tusikubali!.
P
Sasa mbona wengi tunakubali! Unafikiri kiongozi utaheshimiwa kama wewe mwenyewe hujiheshimu au kuheshimu unao waongoza? Unafiri kiongozi utapendwa kama wewe mwenyewe huwapendi wale unao waongoza?Huyu mtangazaji wa Kenya, anamuita rais wetu Bi Msumi!,
Kisha anasema mwanamke anapoongelea mikwaju anaeleweka, huku akionyeshea mikwaju hiyo kwa ishara ya mkono!.
Watanzania Wazalendo tusikubali udhalilishaji huu wa viongozi wetu na media za jirani!.
Niliwahi kuandika humu na kuuliza kuhusu Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
Tusikubali!.
P
Language hii siyoRuto hawezi kusikiliza hii ndezi hata kusoma haijui
Unaelekea kujipachika majukumu yasiyo kuhusu. Tafakari, chukua hatua mapema.Language hii siyo
Nasikia Ruto hakupenda ile kauli kwa sababu hakuongea nae hiko kituBaada ya ukimya wa siku kadhaa na madai pia waliotoa kutaka kutekwa! Sasa wale Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya akiongozwa na Billy Miya leo waimeibuka na jambo jipya la kusema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anataka kumharibu Rais William Ruto wa Kenya ambaye ni Rais wao walitoka naye mbali na wanampenda.
Soma Pia: Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu watovu wa adabu, wakija kwako chapa mikwaju, wakija kwangu nachapa mikwaju
Na moja pia ya jambo walizungumza ni kushangazwa na kauli ya Rais Samia aliyotoa jana katika Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Kenya lililofanyika Mei 4 ya kusema Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu ( Gen Z ) watovu wa adabu, wakija kwako chapa mikwaju, wakija kwangu nachapa mikwaju