CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Habr za mapumziko wadau, hv ni mtangazaji gani wa radio au TV unamkubali (unamu-admire) na ni kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tv:
Sam Misago(fnl),Allen(skonga),Ben kinyaiya n' Maimartha.
Radio: DEE7,Mchomvu,Gerald Hando.
kwanin unawakubali?
Radio Milad Ayo~anajua anachofanya afu hapendi kuiga
Tv Samadu Hassan yuko star tv....anajua kuzichambua habari za kimataifa afu anasauti ya kitofauti
halafu tukishajibu hilo swali unatupa maksi au? watu wengine bwana shule mitihani basi hata humu unakutana na mitihani?
wengi wanaigana kuongea so its hard kuchagua genuine favourite kwa sababu anavyoongea huyu ndio sawa anavyoongea yule, mi si wa fani iyo lakini labda wahusika watatufafanulia ili kua mtangazaji ni lazima utumie ile ACCENT? they speak the same way au ndio chuo wanavyofundishwa? watangazaji wa vipindi vya bongo fleva wote wanafanana wanavyoongea, watangazaji wa taarabu wote wanafanana wanavyoongea kama hajataja jina unaweza dhani ni yule yule kila siku kila redio!