TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

Mungu awape faraja familia yake.
ANGALIZO: Ibada ya kuombea marehemu ni "ibada ya sanamu"
 
Manyumbu yatakuja kusema ni corona
Mimi wa kwanza kusema hivyo. Juzi na mpaka sasa namuuguza mzee wangu ambaye alirudishwa kutoka Muhimbili baada ya kugundulika kuwa ana Covid 19. Aisee huu ugonjwa inasumbua. Kitu kibaya zaidi kwa huu ugonjwa ni kuwa ukimpata mtu basi yale magonjwa ya sijui kupigwa stroke, Sukari, pumu yanakuja kama mshale! Dah nisiseme sana!
 

Dada Ummy upo? Tunateketea. Coronavirus-free country!
CC. Magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…