TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

Mimi wa kwanza kusema hivyo. Juzi na mpaka sasa namuuguza mzee wangu ambaye alirudishwa kutoka Muhimbili baada ya kugundulika kuwa ana Covid 19. Aisee huu ugonjwa inasumbua. Kitu kibaya zaidi kwa huu ugonjwa ni kuwa ukimpata mtu basi yale magonjwa ya sijui kupigwa stroke, Sukari, pumu yanakuja kama mshale! Dah nisiseme sana!
Wewe nyumbu,mbona unafahamika.
 
Aisee pole ndugu
 
RIP Agnes.
Juzi tu nilimuona akisoma taarifa ya habari. Nikakomenti kitu kizuri juu yake.
I hope sio ule ugonjwa ambao haupo Tanzania.
 
Mtangazaji wa Radio One naITV Agnes Almas afariki dunia. Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali Pema Peponi [emoji1431]

#TANZIA:Tunasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu Agnes Almas
@ITVTANZANIA
. R.I.P AGNES ALMASY.

View attachment 1557557
RIP Agnes. Je ana uhusiano na Fatuma Almas Nyangasa? Safari njema Agnes msalimie mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP Dr. Reginald Mengi. Wote mpuzike kwa amani, Ameeen!
 
IMG_20200903_162311_829.jpg
 
RIP
AGNESS ALMASY

Toka waache kurusha matangazo kwenye baadhi ya vingamuzi wala taarifa za habari siangalii tena.
 
RIP Agnes. Je ana uhusiano na Fatuma Almas Nyangasa? Safari njema Agnes msalimie mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP Dr. Reginald Mengi. Wote mpuzike kwa amani, Ameeen!
Nani kakudanganya kuwa kule alikokwenda mpendwa wetu Agnes ataonana na Dr. Mengi!
 
Back
Top Bottom