TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

Daah pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki
 
Huyu alikua anaegemea zaidi ccm au upinzani au alikua anabalance story?
 
Huyu keshautumia muda wake mfupi mno wa hapa duniani
Na huenda akawa ndio anaenda kuianza safari NGUMU mno ya maisha ya kaburini na hapo ataishi kwa muda pia huenda ikawa ni miaka 500,1000, 2000 kabla ya kiyama na zaidi (na Allah ndiye mjuzi juu ya hilo)
Tunaghiribika mno na maisha ya dunia na hali huko kuna Endless life
 
Kama ni mwanacuf kafa sawa tu cuf ni sawa tu na maccm
 
Mtangazaji wa Radio One naITV Agnes Almas afariki dunia. Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali Pema Peponi [emoji1431]

#TANZIA:Tunasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu Agnes Almas
@ITVTANZANIA
. R.I.P AGNES ALMASY.

View attachment 1557557

UPDATE:
Mtangazaji wa ITV, Agnes Almas amefariki dunia ghafla mchana wa leo akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam baada ya kujisikia vibaya alipokuwa nyumbani kwake akijiandaa kwenda kazini.
Mbona kituo chao kinaendelea na program zao za kawaida kama vile hakuna kilichotokea
 
Hahaha nilisikia kwamba Lipumba ni mgombea wa nafasi ya urais, vipi kampeni hafanyi kampeni au ndio wanasubiria kwenda Diamond Jubilee kusema uchaguzi ulikuwa huru na haki?!

2015 alikimbia uchaguzi lakini akasema ulikuwa huru na haki.
 
Mtangazaji wa Radio One naITV Agnes Almas afariki dunia. Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali Pema Peponi [emoji1431]

#TANZIA:Tunasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu Agnes Almas
@ITVTANZANIA
. R.I.P AGNES ALMASY.

View attachment 1557557

UPDATE:
Mtangazaji wa ITV, Agnes Almas amefariki dunia ghafla mchana wa leo akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam baada ya kujisikia vibaya alipokuwa nyumbani kwake akijiandaa kwenda kazini.
Rip Almasy!
 
Back
Top Bottom